Van persie
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,099
- 720
Safi kumbe hawaitaki CCM Ila wanamtaka Lowasa Ila Kumbuka CCM hawamtaki Lowasa. Nape na Viongozi wake wana Mwita Fisadi. Unajua hilo?.Watu wa kanda ya ziwa hawtaki kudanganywa tena na Cdm kama 2010 saiv ni Lowassa tu kila sehem
mawazo unaeneza injili kwa wakristo wenzio
Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.
Hongera sana Alphonce Mawazo! Mnafanya kazi ya Mungu na hakika mkimaliza kazi, mtavalishwa taji!
Hizo ndio xilizosababisha CDM wakapata Vitongoji vingi na Wenyeviti wa Mitaa Tanzania Nzima.
Baada ya matunda makubwa ya serikali za mitaa na kuvuna wanachama kibao
Ccm wajibu majigo ya kamanda Alphonce Mawazo
Ccm wajibu majigo ya kamanda Alphonce Mawazo
chonde chonde nendeni bukoba vijijini hawa maccm yamejimiklikisha jimbo
CCM wanawakusanya Vijana na baadae wanawatosa kwa kwenda mbele...
Kamanda Mawazo
Hongera kwa hatua nzuri,tunaomba tu Wagombea ,wasimamizi wa kura,na hakikisheni mnawaambia wananchi Ubaya wa Ilani ya Uchaguzi ya ccm na sera zao zilivyoshindwa kubadilisha maisha ya watanzania.
Waambie wasipoamua,ccm haitatoka kuja kuwahurumia,kama ilishindwa kuhurumia wananchi kwa miaka 51, haiwezi tokea ccm wakabadilika,ni utamaduni wa ccm,ushahidi ni rasimu ya katiba walivyokanyaga masuala muhimu kwa kuwa yangewaumiza.
Watanzania( watawaliwa), tunaweza!