Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,146
Je ni sahihi polisi kuonesha sura za watuhumiwa? Ona polisi wa Macau walivyotreat yule binti. Polisi kuweni profesional kidogo hii unaweza kuwa sababu ya watuhumiwa kuachiwa na mahakama, halafu mnalalamika hoo wanaachiwa wakati ninyi wenyewe hamfanyi kazi kwa weledi

Japo maendeleo hayaji lakini inaelekea Watanzania wanaielewa vizuri nchi yao. Siku sio nyingi mambo huenda yakakaa kwenye mstari mnyoofu.Hizo zikifika kwa nzowa zinageuka kuwa sukari na kupelekwa bohari ambayo haijaagi tukea tupate uhuru.