ni kweli wanapenda wanyama lkn kuacha mtoto na kumuokoa mbwa ume exaggeratedMzungu kwa mbwa bora aache mtoto ila mbwa asalimike...
Wenzetu wamepiga hatua kubwa sana hii ingekuwa bongo tungeteketea kama sisimizi
Huku wangeambiwa Mwafwaaa.Kwenye vituo vya kuwapokea wahanga na waathirika kuna kila kitu wanachohitaji kama chakula, malazi na mavazi kama inavyoonekana kwenye hizi picha...
![]()
![]()
![]()
Katetemeko ka Kagera tu kameonesha sura ya serikali,hata michango ya wasamaria ......Ni Taifa kubwa kiuchumi kuliko yote duniani so usifananishe na Tanzania Kuwa mzalendo
Inabidi nao waige kufanya bomoabomoa.Houston kumekuwa Kama bonde la msimbazi
Mbona mlisema kuwa yeye ndiye alileta kupatwa kwa jua!Ingekua huku wapuuzi flan wangeanza lalamika magufuli kaleta kimbunga na maafa. Maana mvua tu alilalamikiwa
Mbona mlisema kuwa yeye ndiye alileta kupatwa kwa jua!
Poleni sana mkuu.Mkuu acha kabisa hii kitu sio mchezo, nilipoona watu na boat outside my [emoji536] Saturday, nikajua game on! But at least now inaenda Louisiana tupumue
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Houston yote ilikuwa under water sema level ndio zilikuwa tofauti, kuna sehemu first floor yote chali! Hii mvua acha kabisa, unaambiwa mvua ya miezi sita ilianguka within two days!! Sehemu kibao bado zimefungwa, tumepigwa mpaka curfew saa sita usiku mpaka kumi na moja hakuna kutembea nje unless unatoka job au unatoka kuvolunteer!!Poleni sana mkuu.
Ni maeneo gani specific hapo Houston yamepata mafuriko na kuharibika zaidi?
Dah! Poleni sana mkuu. I can imagine. Nilipita huko 2005 iliposhuka hurricane Rita. Nilifikia maeneo ya Westchase. Kipindi hicho nakumbuka Medical centre ndio iliathirika zaidi na maeneo ya 5th Ward pia.Mkuu Houston yote ilikuwa under water sema level ndio zilikuwa tofauti, kuna sehemu first floor yote chali! Hii mvua acha kabisa, unaambiwa mvua ya miezi sita ilianguka within two days!! Sehemu kibao bado zimefungwa, tumepigwa mpaka curfew saa sita usiku mpaka kumi na moja hakuna kutembea nje unless unatoka job au unatoka kuvolunteer!!
Hata kama sikuwepo huwa mnajisemeaga tu bila hata ya kusubiri niwepo..Ulikuwepo wakati nasema hayo?