Picha: Kimbunga Harvey chaleta maafa makubwa nchini Marekani.

Picha: Kimbunga Harvey chaleta maafa makubwa nchini Marekani.

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,603
Reaction score
23,991
Leo ni siku ya nne kimbunga Harvey kinaipiga Marekani kwenye majimbo mawili ya Texas na Louisiana. Ingawa mpaka sasa waliopoteza maisha wanakisiwa kufika 21, idadi hii ingeweza kuwa maradufu kama maafa haya yangetokea nje ya Marekani.

Kama si uwezo wa Marekani kukabiliana na majanga kama haya ni ukweli kuwa kungetokea uharibifu mkubwa zaidi ya tunaoushuhudia. Pamoja na hilo bado maafa zaidi yanategemewa kwani kimbunga hiki hakina mfanowe kuwahi kuikumba Marekani.


14752878_G.jpg


920x920.jpg



Pickup_high_water_MS_TT.jpg


hurricane-harvey-is-wreaking-havoc-with-energy-markets.jpg


Hurricane-Harvey03.jpg


Harveyweb-760x428.jpg


27INTHVLRHARVEYHAVOC


Harvey_43913-727x452.jpg


d55a6a0b-869c-417e-ad08-937e1a5a5887-large16x9_AP17241622418934.jpg


harvey41.jpg




afp_rv2l2.jpg


harvey.jpg


nintchdbpict000348177143.jpg


gettyimages-839933302.jpg


2017-08-29t22-58-57-0z--1280x720.nbcnews-ux-1080-600.jpg


afp_rw33a.jpg


82749a62396341c28432579b72f86c10.jpg


people-take-shelter-at-the-george-r-brown-convention-center-after-picture-id840577266


cotsshelter_png



​
 
Kwenye vituo vya kuwapokea wahanga na waathirika kuna kila kitu wanachohitaji kama chakula, malazi na mavazi kama inavyoonekana kwenye hizi picha...

s0827949721.jpg


dallas-oem-shelter-harvey.jpg


59a68d46e4f7f.image.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SDG
It's really catastrophic! Very sorry for our beloved friends Americans, We're praying for the hurricane Harvey to either weaken or getaway.
 
Aisee! Bora hili balaa halikuelekea nchi za majanga kama Haiti.
 
Bongo ungesikia kila mtu atafute pa kuponea maana kibunga kimejileta chenyewe
 
Back
Top Bottom