jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,382
- 4,902
bibi harusi huwa anakamata/shika ua,angalia kwenye hiyo picha,aliyeshika ua ni nani?
Mnamshambulia kama nyie wasafi wakati kati yenu mnawa,,,,mademu zenu na wengine ndio michezo ya vijana wengi dar arusha moshi morogoro,,,tofauti hapo ipii,,wabongo mmekosa lakufanya umbea tu,,fanyeni kazi na mlee vijana wenu kwa maadili,,,hayo hayawahusu kwaza mnafanya maozo zaidi yao
......... msipotoshe kwa kukwepa ukweli, huyu kijana wa Arusha, maeneo ya Sakina. Anamiliki Bar na huwa panajaa mashoga wengi katika Bar yake. Kama vile kwa Macheni hapo dar enzi zileee !
Dah.
Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi!
......... msipotoshe kwa kukwepa ukweli, huyu kijana wa Arusha, maeneo ya Sakina. Anamiliki Bar na huwa panajaa mashoga wengi katika Bar yake. Kama vile kwa Macheni hapo dar enzi zileee !
Machalii wa Arusha wanagawa mzigo Paulo Sergio De Souz