naona ni wakiristo tumeanza kulipiza kisasi au mwasemaje wenzangu catolic?
Inawezekana ni kisasi cha CUF hakuwapa ushirikiano walipokuja Arusha.Jamani, POLE SANA... Ni watu gani hao Wanafanya UNYAMA wa KUTUMIA MABOMU?
NCHI HII INAELEKEA WAPI???
Hao watakuwa wafuasi wa ponda waliotaka kumpindua mufti si bure!maskini tanzania,nasikia uamsho wanapanga kwenda kuchukua mafunzo somalia!
haya tena Udini Udini Udini.. Huyu mtu kweli kalipuliwa na Bomu kwa sababu ni katibu wa Bakwata au ni kipigo tu baada ya kufumaniwa?
Inaelekea kule Jk alikotaka iendeJamani, POLE SANA... Ni watu gani hao Wanafanya UNYAMA wa KUTUMIA MABOMU?
NCHI HII INAELEKEA WAPI???
Inaelekea kule Jk alikotaka iende
Mengi tutasikia mwaka huu!
haya tena Udini Udini Udini.. Huyu mtu kweli kalipuliwa na Bomu kwa sababu ni katibu wa Bakwata au ni kipigo tu baada ya kufumaniwa?
Katibu wa bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu katika wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala usingizini nyumbani kwake na watu wasiofahamika majira ya saa 6.30 usiku wa kuamkia leo. Picha na Josefu Ngilisho.
THURSDAY, OCTOBER 25, 2012
Picha na Michuzi Blog
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Magessa Mulugo akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarim Jonjo anayeuguza majeraha aliyoyapata baada ya kutupiwa bomu nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo eneo la mtaa wa kanisani kata ya Sokoni jijini Arusha.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Afande Liberatus Sabas akiangalia maganda yanayosadikiwa kuwa ya hilo bomu lililotipiwa dirishani katika nyumba ya Katibu wa BAKWATA wa mkoa huo usiku wa kuamkia leo
Dirisha lilikotupiwa hilo bomu.
Picha zote na Mahmoud Ahmad