PICHA: Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha aliyejeruhiwa kwa BOMU


dah..hivi we jamaa ukiwa unatoka kwako unaenda kanisani huwa unapita kwako tu au kwa wakristo wenzio tu??...dhambi ya ubaguzi itakufikisha pabaya...
 
Mmesikia kwamba imenenwa,''Umpende jirani yako;na Umchukie adui yako;Lakini mimi nawaambia ,WAPENDENI ADUI ZENU;WAOMBEENI WANAOWAUDHI;ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni;maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema huwanyeshea mvua wenye haki na wasio na haki.MAANA MKIWAPENDA WANAOWAPENDA NINYI,MWAPATA THAWABU GANI ? Hata watoza ushuru,je!nao hawafanyi yayo hayo ? TENA MKIWAAMKIA NDUGU ZENU TU,MNATENDA TENDO GANI LA ZIADA ? Hata watu wa mataifa[Wasiomwamini Mungu aliyetuumba!];Je,hawafanyi kama hayo" ?
 
Nimepita leo karibu na msikiti nikaskia ndugu zangu tuendelee kuwaombea wenzetu waliokamatwa mbagara kwa kuchoma kanisa na watoke haraka na vilevile tusisahau kutoa chochoye kwajili ya kuzisaidia familia zai,. Nimestuka na kujua kua Hivi kumbe hili jambo la kuchoma makanisa linabaraka ya misikiti yote
 
haya tena Udini Udini Udini.. Huyu mtu kweli kalipuliwa na Bomu kwa sababu ni katibu wa Bakwata au ni kipigo tu baada ya kufumaniwa?
 
Katibu wa bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu katika wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala usingizini nyumbani kwake na watu wasiofahamika majira ya saa 6.30 usiku wa kuamkia leo. Picha na Josefu Ngilisho.
Picha na Michuzi Blog
Pole sana shekhe,kwa yote yaliyokupata wewe na nyumba yako. Naomba uwasamehe bure kama Stephano alivyowaombea msamaha kwa MMwenyenzi Mungu wauaji wake; wakati wanamuua kwa kumpiga kwa mawe kama kumwua nyoka au paka mwizi !
 
Matatizo ya vyombo vya dola kuingia ubia na Ccm,PoliceCcm,Usalama wa taifaCcm,MahakamaCcm,Wakuu wa Mikoa,Wilaya mpaka Wakurugenzi na baadhi wajinga flani flani pia hwa jamaa wa BakwataCcm sasa dhambi yao inaendelea kuwala na bado
 
Sijapata jibu bado, alikuwa amelala usiku wa manane akiwa kafungua mlango au dirisha? Alikuwa na bomu hilo kwake amelitunza? Sijapata jibu!
 
pole ustadhi ila tusilihusishe hili na dini kabisa maana naona tanzania inakoelekea sikuzuri kabisa kwa hali ninayoiona hapa kila mtu anataka kuonekana anaonewa na kuna baadhi ya wahuni wanatumia kivuli cha dini kufanya mambo yao ya kishetwani yaani dunia na tanzania inapoelekea si kuzuri kabisa
 

Katibu wa bakwata Mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarimu Jonjo akiugulia maumivu katika wodi ya majeruhi ,katika hospitali ya mkoa mount Meru baada ya kulipuliwa na bomu la kutupwa na mkono akiwa amelala usingizini nyumbani kwake na watu wasiofahamika majira ya saa 6.30 usiku wa kuamkia leo. Picha na Josefu Ngilisho.

Picha na Michuzi Blog

Huyo atakuwa Ponda tu kawatuma.
 
Back
Top Bottom