PICHA: Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha aliyejeruhiwa kwa BOMU

Uzuri ni wenyewe kwa wenyewe, Mungu amesikia kilio na maombi ya wakristo sasa amejibu kwa kuwavuruga wasielewane.
 
Sijapata jibu bado, alikuwa amelala usiku wa manane akiwa kafungua mlango au dirisha? Alikuwa na bomu hilo kwake amelitunza? Sijapata jibu!

angalia mkono wa kulia uliofungwa bandeji inaonekana alikuwa amelishika bomu huyu jamaa na wakati akiliangalia likamlipukia.....halikuwa na madhara makubwa vinginevyo angekuwa vipande......bado kuna maswali anatakiwa kujibu sijui kama wana bongo ina wataalamu wa forensic....kuhusu hili ni rahisi kulichunguza maana linajieleza
 
Huhitaji kuwa forensic scientist kugundua kuwa bomu hilo lilimripukia wakati amelishika mkononi (mkono wa kulia) huku akiliangalia?/akilichunguza?/akilishangaa?/ kwa makini (karibu na macho yake)/ akilitega/akilitegua??. Ndio maana epicentre ya madhara aliyoyapata ni kwenye kidevu na vidole vya mkono wa kulia. Vyenginevyo ramani ya madhara ingekuwa tofauti.

Natamani nikugongee like ila daaah mchina anazingua. Tuliozoea matukio kama haya tunaamini hisia zako.zako
 
Uzuri ni wenyewe kwa wenyewe, Mungu amesikia kilio na maombi ya wakristo sasa amejibu kwa kuwavuruga wasielewane.

Yani wewe usha conclude kuwa tukio hili ni lakidini halafu unalifurahia !!!
Ndio mnavyofundishwa na wachungaji wenu ?

Subiri na sisi tushehereke mlivyo mtumbua mwenzenu kule iringa...

Si ndio mnavyotaka ?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mijitu mengine sijui mmetoka sayari gani
 
angalia mkono wa kulia uliofungwa bandeji inaonekana alikuwa amelishika bomu huyu jamaa na wakati akiliangalia likamlipukia.....halikuwa na madhara makubwa vinginevyo angekuwa vipande......bado kuna maswali anatakiwa kujibu sijui kama wana bongo ina wataalamu wa forensic....kuhusu hili ni rahisi kulichunguza maana linajieleza

ndio Alkaeda a.k.a uamsho wako kazini
 
Hawa watu wanatakiwa wafuatwe mmojammoja kwa babayake ashughulikiwe, lkn mkitaka kuwachekea itawagharimu maana hawataki amani. Hawawezi kuifanya nchi hii ya kiislam.
 
Huhitaji kuwa forensic scientist kugundua kuwa bomu hilo lilimripukia wakati amelishika mkononi (mkono wa kulia) huku akiliangalia?/akilichunguza?/akilishangaa?/ kwa makini (karibu na macho yake)/ akilitega/akilitegua??. Ndio maana epicentre ya madhara aliyoyapata ni kwenye kidevu na vidole vya mkono wa kulia. Vyenginevyo ramani ya madhara ingekuwa tofauti.

Hatari kweli
 
Yani wewe usha conclude kuwa tukio hili ni lakidini halafu unalifurahia !!!
Ndio mnavyofundishwa na wachungaji wenu ?

Subiri na sisi tushehereke mlivyo mtumbua mwenzenu kule iringa...

Si ndio mnavyotaka ?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mijitu mengine sijui mmetoka sayari gani

We ulitaka nilie? Mungu anajibu maombi kwa yote mlio wafanyia wagalatia
 
Hizo ni fataki sion bomu !! lakini kusudi bado lilikua kama sio kuuwa ni kumdhuru au kumtisha. Mungu tujaalie amani nchini.
 
mi naona huu ni ujumbe kwa polisi wa tanzania kwamba sasa mabomu yako mitaani na si kama walivyozoea kupambana na waandamanaji wa vyama vya upinzani waliobeba mabango kwa risasi za moto.
Nashauri wataalam wa milipuko waliotumwa kuchunguza kitu kizito kilichomlipukia Mwangosi wapelekwe haraka Arusha
Kuchunguza asili ya bomu hilo lililotumika,na hatua zichukuliwe kukomesha uingizwaji wa silaha haramu nchini.Pia ni vyema kuwaeleza wananchi ukweli ili washiriki kikamilifu kufichua mbinu chafu zinazolenga kuvuruga amani nchini.
Mitindo ya kutotoa ukweli kwenye chunguzi zinazofanyika kunawafanya wananchi kuamini kuwa serikali inahusika kuleta majanga haya na hivyo kutotoa ushirikiano.
 
Ndo akome aone utamu wao ndo wahamsishaji wa kuchoma makanisa yetu wakifikiri wanatukoma kumbe yakiwakuta na wao wanaumia eeeeee.
 
Naona wakristo wengi ndo wanakuombea upone haraka! Tafakari! Chukua hatua! Mwakasege yupo hukohuko AR..
 
Rais Kikwete fanyia kazi haya mambo kwa njia za kijasusi. Usisubiri mahakama tafadhali
 
Huhitaji kuwa forensic scientist kugundua kuwa bomu hilo lilimripukia wakati amelishika mkononi (mkono wa kulia) huku akiliangalia?/akilichunguza?/akilishangaa?/ kwa makini (karibu na macho yake)/ akilitega/akilitegua??. Ndio maana epicentre ya madhara aliyoyapata ni kwenye kidevu na vidole vya mkono wa kulia. Vyenginevyo ramani ya madhara ingekuwa tofauti.

j4 umesahau issue ya impact ya hilo bomu, je ilikuwa nje au ndani?
 
Nimesoma post zote katika uzi huu, napendekeza tutumie maneno haya, ". . . . .Amejeruhiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni baruti" kuliko tuavyosema sasa kuwa eti amelipuliwa na bom.

Naamini ingekuwa ni bom, hiyo nyumba isingeonekana kama picha zinavyo-surgest. Labda sijui tofauti ya bom na mlipuko.
 
Polisi wa bongo bana. Yaani hapo pangetakiwa kufungwa kabisa na kufanyiwa uchunguzi lakini wao ndiyo kwanza wamepazonga na kushikilia maganda ya "bomu" kwa mikono mitupu.
 
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama: Ongezeni doria katika mipaka yetu ili kuzuia uingiaji wa silaha ndogo ndogo nchini vinginevyo tutakuwa kama palestina au afuganistan!

hilo bomu ni homemade.
 
Polisi wa bongo bana. Yaani hapo pangetakiwa kufungwa kabisa na kufanyiwa uchunguzi lakini wao ndiyo kwanza wamepazonga na kushikilia maganda ya "bomu" kwa mikono mitupu.
Nilitegemea kuona ule utepe wa manjano lakini dah...kibongobongo hata polisi na wenyewe wanakuwa wanashangaashangaa tu...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom