Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

Dunia na fahari yake vinapita. Hata Mfalme Daudi na Fahari yake yote alipita. Hakuna atakayebaki duniani milele. Jipambe jilembe ishi kwenye nyumba ya dhahabu toka msingi hadi paa, mwisho wa siku utaingia kaburini. So hakuna jipya kujua ana jumba la hivi au vile.
 
Toa ulichonacho ndugu, bwana anakuona mpaka moyono mwako!!!!

siamini kabisa hizi dini ni biashara mnajitolea mnamjengea vyoye anamiliki yeye kwa hela zenu hati zoote kwa jina lake na magarri na kila kitu,uliona mzee wa upako alivkashfu waumini wake siku ile eti yeye ana magari yakifahari na apakizi waumini yote yapo kwa hati yake yeye ni tajiri hahahah blablabla nyingi ambazo kama una akili timamu hutii mguu kanisani kwake.
 
atagoma kwenda mbinguni huyu, siamini kama ataliacha hili jumba, but uitashangaa kifo chake
 
Nimesha kopi hicho kitanda naenda kukipaste nyumbani kwangu,,,,,,raha jipe mwenyewe usisubiri mpaka upelekwe makaburini
 
sawa ni nzuri ila interior design yake haifikii ya nyumba ya Mwavita Makamba weeeeeeeee ile ndo hekalu bana hii ya mchungaji nao items za kichina ndo zimejaa sana hata haishtui kama ya mwamvita
 
ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
hivi kufungua kanisa tanzania taratibu zake zikoje wadau.
msaada jamani.
 
Back
Top Bottom