Picha kalenga: CHADEMA yazidi kuipoteza CCM

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Tangu uzinduzi wa kampeni za chaguzi ndogo za kalenga chadema imezidi kujiimalisha huku ikiungwa mkono wazee kwa vijana, hali hiyo imefanya mgombea wa ccm ambaye hata mipaka ya jimbo lake haijui, mlowezi huyo amechanganyikiwa kabisa na kuanza kulialia kwenye media tu kuwa yeye alienda kusoma na kuoa tu huko UK..

IMG_20140224_180157.jpg
MBUNGE WA KALENGA ANAYE SUBIRI KUAPISHWA AKISALIMIA WANA KALENGA HUYU NDIYO MTU WA WATU SIYO YULE WA KULAZIMISHA KURITHI UBUNGE ...KUDADEKI ZAKE AKARITHI NYUMBA YA BABA YAKE SIYO JIMBO
IMG_20140224_164019.jpg

KAMPENI MANEJA KAMANDA ALPHONCE MAWAZO AKIIMBA NA KUCHEZA NA WANA KALENGA..
IMG_20140224_180220.jpg
HUYU NDIYO ANAYE JUA SHIDA ZA WANA KALENGA SIYO HUYO MWINGEREZA...​

IMG-20140225-WA0002.jpg
kamanda Grace akimsikiliza mpiga kura wake kwa makini kabisa...​
IMG-20140226-WA0012.jpg
IMG-20140226-WA0013.jpg
Kamanda Grace akiwashukru wapiga kura wake kwa kura..
 
Huyu mama ngoja avae masuruali lakini cha moto atakipata wala hatasahau kwenye maisha yake moto utakao waka.
 
Siku atakapogundua kuwa yupo kwenye chumba cha waharamia atajuta kuzaliwa aibu ya mwaka ataipata tena kwa sana.
 
Kamanda Mawazo ni mentor mzuri sana, naanza kushawishika kuwa hilo jimbo lilisha enda upinzani kwa hali hiyo, wana approach nzuri ya kuingia na kuwa sehemu ya jamii wanayoiomba ridhaa ya kuiwakilisha , CDM pamoja daima
 
Tangu uzinduzi wa kampeni za chaguzi ndogo za kalenga chadema imezidi kujiimalisha huku ikiungwa mkono wazee kwa vijana, hali hiyo imefanya mgombea wa ccm ambaye hata mipaka ya jimbo lake haijui, mlowezi huyo amechanganyikiwa kabisa na kuanza kulialia kwenye media tu kuwa yeye alienda kusoma na kuoa tu huko UK..

View attachment 141726
MBUNGE WA KALENGA ANAYE SUBIRI KUAPISHWA AKISALIMIA WANA KALENGA HUYU NDIYO MTU WA WATU SIYO YULE WA KULAZIMISHA KURITHI UBUNGE ...KUDADEKI ZAKE AKARITHI NYUMBA YA BABA YAKE SIYO JIMBO
Katangazwa lini kama mshindi??
MiChadema kwa kujifariji.
 
mkiwa mna shida ndio mnajua kuna wana nchi maskini, mkifika mjengon kaz kulilia posho na mnawasahau waliowapa nauli ya kufika huko.
 
Tangu mlipotutanguliza kwa baiskeli ya miti kule Nyasura Bunda, sitakaa niamini tena propaganda za chadema
 
mkiwa mna shida ndio mnajua kuna wana nchi maskini, mkifika mjengon kaz kulilia posho na mnawasahau waliowapa nauli ya kufika huko.
Karibu jamvini mkuu... nchi hii imeongozwa na mchwa kwa zaidi ya miaka hamsini ni wakati sasa wa wengine kuchukua nchi hii, tukapigania watanzania na siyo kikundi kimoja...
 
...

....mchakamchaka chinja aliserema alija ngwana Chadema aliserema x 1

abhange bhaligogota gete kidondofiro !!!

Tafsiri

aliserema...kitu inachanja upepo
abhange....wengine
bhaligogota...wanajikokota
kidondofiro...panzi asiyekuwa na mabawa
gete...kama
 
Sura za wananchi zinaonyesha ni njisi ngani zinavyosikiliza ili badae wakati ukifika wa kwenye masanduku watahamua mbivu na mbichi.
 
Tangu uzinduzi wa kampeni za chaguzi ndogo za kalenga chadema imezidi kujiimalisha huku ikiungwa mkono wazee kwa vijana, hali hiyo imefanya mgombea wa ccm ambaye hata mipaka ya jimbo lake haijui, mlowezi huyo amechanganyikiwa kabisa na kuanza kulialia kwenye media tu kuwa yeye alienda kusoma na kuoa tu huko UK..

View attachment 141726
MBUNGE WA KALENGA ANAYE SUBIRI KUAPISHWA AKISALIMIA WANA KALENGA HUYU NDIYO MTU WA WATU SIYO YULE WA KULAZIMISHA KURITHI UBUNGE ...KUDADEKI ZAKE AKARITHI NYUMBA YA BABA YAKE SIYO JIMBO
Katangazwa lini kama mshindi??
MiChadema kwa kujifariji.

Jamani mbona watu wenyewe Watoto ambao hata sio wapiga kura ama nimetazama vibaya
 
Mh. Mgimwa kajibu Propaganda zenu kwa hoja leo mnasema ana lia lia kwenye Media Uongo wenu umesambaratishwa kwa hoja sio matusi? Tarehe 28th February,Naibu Katibu Mkuu, Mpambanaji na Gwiji la Siasa hapa Nchini Ndg Mwigulu Lameck Nchemba Mtetezi wa Wanyonge aliezamisha Kamati ya Kina Mbowe ya kudai nyongeza za Posho anakuja kuleta Zilzala katika Mji na Viunga vya Mkoa wa Iringa kuzindua kampeni za Mbunge Mteule. Kazi ya CCM ni kuteua Mbunge Mteule, Yenu ni kuteua Mshiriki wa Uchaguzi. Endeleeni kuishi kwa Matumaini ila Lazima Mshughulikiwe kikamilifu kwenye Sanduku la Kura.
 
Back
Top Bottom