Tangu uzinduzi wa kampeni za chaguzi ndogo za kalenga chadema imezidi kujiimalisha huku ikiungwa mkono wazee kwa vijana, hali hiyo imefanya mgombea wa ccm ambaye hata mipaka ya jimbo lake haijui, mlowezi huyo amechanganyikiwa kabisa na kuanza kulialia kwenye media tu kuwa yeye alienda kusoma na kuoa tu huko UK..
View attachment 141726
MBUNGE WA KALENGA ANAYE SUBIRI KUAPISHWA AKISALIMIA WANA KALENGA HUYU NDIYO MTU WA WATU SIYO YULE WA KULAZIMISHA KURITHI UBUNGE ...KUDADEKI ZAKE AKARITHI NYUMBA YA BABA YAKE SIYO JIMBO
View attachment 141727
KAMPENI MANEJA KAMANDA ALPHONCE MAWAZO AKIIMBA NA KUCHEZA NA WANA KALENGA..
View attachment 141728
HUYU NDIYO ANAYE JUA SHIDA ZA WANA KALENGA SIYO HUYO MWINGEREZA...
View attachment 141729kamanda Grace akimsikiliza mpiga kura wake kwa makini kabisa...
View attachment 141730
View attachment 141731
Kamanda Grace akiwashukru wapiga kura wake kwa kura..