Picha: JK aongoza kikao cha kamati kuu (CC) Dodoma

Picha: JK aongoza kikao cha kamati kuu (CC) Dodoma

kwa hiyo wanakiri kuyumba kwa nchi yetu kunatokana na ccm dhaifu?
 
kumbe ccm tayari ishakubali kun'gatuka Yaani kuachia madaraka kwa chadema
Souce; bango nyuma ya jk hapo kwenye picha..
Hazikutoshi usifanye kanakwamba watu hawajui mambo ile ilikuwa ni kauli ya nyerere pindi anastaafu.
 
baada ya kuacha yote aliyosimamia kwa mustakabali wa taifa na kuingiza nchi kwenye janga la ufisadi sasa munataka kudandia kauli yake ili kujihararishia ulaji nyie tumewangudua mbona hamemi alisema anaweza kuondoka CCm kwa sababu sio mama yake
 
team ya ushindi hiyo cdm watapata shida lazima nguo ziwabane.
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo May 21, 2013, kwenye ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Pamoja na mambo mengine Kikao Hicho kimejadili juu ya mustakabali wa Chama pamoja na baadhi ya masuala muhimu juu ya maadili ndani ya chama.

attachment.php


AIBU VILE! Naona kama kundi lole ni la 'vinana'..aagh gosh! I mean lile jina lingine la 'Kinana' ndio gani? Ni 'Jangili' eeeh! Yes...bila shaka anayekula na kunywa na jangili ni jangili pia...! na hakika sura zinazoonekana juu hapo ndiyo hizooo zinaonekana kula vyema na jangili...yaani hao bila shaka ni 'Vinana'! Sawaaaa!!
 
Katika mambo mengi mazuri yaliyofanywa ama kusemwa na Mwalimu Nyerere ni hilo tu linaloonekana la maana kwa viongozi wa ccm, mengine yote wameshayazika.

Si kama wameyazika, bali wanaleta ujumbe sahihi kwa wakati sahihi, kwamba CCM ya JK imeshindwa kuwa madhubuti na sasa nchi inayumba, inapepesuka, inaelekea kuangukia katika mikono ya tegemeo jipya mnamo mwaka 2015.......
 
Upinzani umejaa kelele tuu hawaonyeshi njia, ccm itabaki kuwa chama imara
 
Bila ccm madhubuti Tanzania itayumba
Hata Mwalimu JK Nyerere alijua bila CCm Madhubuti Tanzania itayumba,
Ndivyo sasa tunaweza kuona nchi inavyoyumba kama nyumba iliyokosa kiongozi
(Baba na mama). Wanasiasa wanataabika,Polisi,waandishi wa habari,Wanafunzi,
wakulima,wafanyabishara+wamachinga, wafanyakazi,Wazee pia wanataabika!!!!
Ni wakati wa kumtafuta mlezi ili anusuru nyumba hii inayoyumba kama mlevi
wa pombe haramu (chang'aa/machozi ya simba).Nafsi ya Nyerere ipo Daima.
 
Back
Top Bottom