Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
tukimwita bogas mtabisha?
ooh sasa hapo wa kulaumiwa ni hawa waandishi walio utangazia ulimwengu. ila Suleman angelisema kuwa alimuwakilisha raisi wetu ktk huo msiba. hapo tungeliona kuna haja ya kujadili hasa ktk mtazamo wa kukosoa
sasa hapo nimekupata mheshimiwa. so labda nikulaumu tu kwa kutoleta taarifa kwa mapana. kuwa habari ingesema kabisa kuwa safari ya suleman kwenda kushiriki mazishi iligharimiwa na serikali... hapana shaka nisinge ichukulia kama nilivyoichukulia hii taarifa mwanzo. ahsante pia kwa kuendelea kutoa maelezo ya kutetea maoni yako ya msingi
Ndege ya RAIS ilitua huko... BADO hakuna MASWALI ya KUULIZA? Je, Yeye ni nani kugharamiwa na PESA za WALIPA KODI?