PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssss......................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mh! Hapa leo wananusa na kukimbia. Wameshaona mawingu ya mvua. Subirini 2015 ikinyesha ndo mlowe.
 
If you see some one continues to applaud ccm you must have a million questions on him/her. It's unimaginable to see a few still remain with ccm in their mind, still defending it and even some are ready to die for it. You continue to wonder what exactly ccm has done to them. I really love cdm, if it miss up I will dislike it, likewise to any political party that is not on behalf of the majority poor!

Musoma shows the way and we all need to back it up.
 
Chadema itashinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,kama kura zitahesabiwa kwa haki,dalili zote za ushindi tayari zinaonekana.Usiniulize ni dalili zipi bali mwenye macho haambiwi tazama


hata 2010 tulishanda basi tu usalama wanajua walichofanya
 
Inatia moyo na hamasa kuona mwitikio wa watu ktk mikutano ya cdm. Ili tuwe na uakika kuwa hawa ni wapiga kura wetu, kuna mipango mkakati razma ifanyika. Nayo ni kuhakikisha wengi wao wanavitambulisho vya kupigia kura-ni wapiga kura so to speak.

Pili, Ugawaji kadi za chama na elimu ya katiba ya cdm inafanyika siku mbili au tatu kabla ya mkutano kwa wanachama wapya. Nimeudhuria baadhi ya mikutano ya cdm sijaona ili likifanyika.

Watu wengi ktk mikutano ya cdm ni ishara nzuri kisiasa ila haitoshi. Tatu, kama kuna ishara zote za kutokuwa na katiba mpya-tume mpya ya uchaguzi, elimu kwa umma huu jinsi ya kulinda kura zao haiepukiki. Watawala-wasimamizi wa uchaguzi waambiwe kuanzia sasa mpaka 2015 kuwa kuchezea tu haki ya mpiga kura na jaribu lolote la udangsnyifu ktk kura ni kuchezea amani ya Tanzania. Na kabla watanzania hawajaaribikiwa mali zao na maisha yao kwa uzembe wao ndo wawe wa kwanza kuwajibishwa.

Hatutaki kutafuta amani na malidhiano baada ya machafuko na vifo vya watu. Hatutaki kuwa kama Kenya. Hatutaki amani yetu ipotee kwa ulafi wa madaraka. Tunataka watanzania waamue ktk uwazi nani awaongoze 2015. Na mifumo ya uwazi ianze na kutejelezwa sasa. Kinyume na hapo, hatakayeshindwa kusimamia uwazi huu na hatmaye kualibikuwa ajulikane mapema na mkono wa sheria uwe juu yake.
 
attachment.php
attachment.php
 
hivi dar mmerogwa?dar hakuna maji,foleni,mgao wa giza,wamama wanalala wanne Temeke hosptl,joto kali.bado unaipenda tu sisiem kweli mna ngozi ngumu!!

Dar ukitaka kuwapata watangazie kuna promotion ya bia au kitu chochote cha bure watatoka woteeee
 
asilimia kubwa sana ya wafuasi wa CHADEMA sio wapiga kura,naipenda sana ingawa hawana sera zenye mvuto kwa mtu mwelewa ila upinzani wao umetusaidia sana sisi tuliokuwa gizani kuelewa kwamba tunaibiwa sehemu kubwa sana ya jasho letu(kodi zetu) na viongozi wa CHAMA CHA MAJIZI,kama CDM wanataka kuingia Ikulu sharti watoe elimu ya kutosha kwa wafuasi wake kuhusu umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura pia wafike mpaka vijijini sio kurandaranda tu mijini:msela:
 
Hivi kwenye hii mikutano CDM mnawakumbusha watu umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura muda ukifika? Kama sio inatakiwa iwe moja ya agenda kwenye kila mukutano.
 
Yah hata NCCR
MAGEUZI ya MREMA NA MABERE MARANDO NA CUF ya LIPUMBA NA SEIF ILIKUAGA
HIVI HIVI..
kuna tofaouti kubwa sana ya enzi ya mwl na sasa itambulike sasa ukombozi wa mtanzania ni CHADEMA
 
Mwitikio ni mkubwa sana hongereni wana CDM, ongezeni nguvu kwenye maendeo ya vijijini, mikoa ya DSM, Mtwara, Lindi na Tanga hakika mtafanikiwa kuongoza Nchi 2015
 
hivi dar mmerogwa?dar hakuna maji,foleni,mgao wa giza,wamama wanalala wanne Temeke hosptl,joto kali.bado unaipenda tu sisiem kweli mna ngozi ngumu!!

Marire dar ndio sehemu ya wajinga wengi Tanzania hii fanya hata utifiti mdogo kuanzia uchafu wa mazingira, magonjwa ya aibu kama kipndupindu na kuhara yanatisha sana dar kuliko miji mingi,kuna sehemu hata Tanzania hawajui uogonjwa kama kipindupindu tngu kuwepo kwa dunia hii lakini dar ni kila mwaka kambi za magonjwa ya aibu na ovyo yanalipuka kila mwaka.
 
Last edited by a moderator:
Nimeona gari analotembelea Kiongozi wa Upinzani Bungeni, lenye plate ikisomeka KUB je hili gari ni sahihi kuwepo katika shughuli za chama cha siasa? naombeni ufafanuzi ili kama vp niache kushambulia viongozi wanaoenda na STK kwenye shughuli za chama.
 
Mara nyingi mikoa yote ambayo iko pembezoni imeamka sana kuliko zile za katikati ya nchi hii ni mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom