PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

PICHA: Jinsi CHADEMA Walivyoiteka Musoma Jana

Marire dar ndio sehemu ya wajinga wengi Tanzania hii fanya hata utifiti mdogo kuanzia uchafu wa mazingira, magonjwa ya aibu kama kipndupindu na kuhara yanatisha sana dar kuliko miji mingi,kuna sehemu hata Tanzania hawajui uogonjwa kama kipindupindu tngu kuwepo kwa dunia hii lakini dar ni kila mwaka kambi za magonjwa ya aibu na ovyo yanalipuka kila mwaka.


inategemea sio wote kwamba ni wajinga unavodai UNATUTAFUTIA BAN ZISIZO ZA MAANA



''The difference between the stupidity and genius is that genius has its limits''
 
Naomba kusahihishwa bila kejeli kama kuna sehemu ntakua nimekosea.

Mimi ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) nimekua mwanachama hai toka mwaka 2008 na kadi yangu ni namba 519212,nimeilipia hadi mwaka 2014 hivi hawa viongozi wetu wanatembea katika maneno yao? Tunapohubiri majukwaani kuwa viongozi wa CCM hasa mawaziri hadi Rais waache kutumia mali za serikali wanapokuwa katika shughuli za kisiasa/kichama sisi kama upinzani tuwe mfano.

Namuona kiongozi wangu na mwenyekiti wangu Mh. Mbowe akiwa na gari lenye plate namba KUB hii ni mali ya serikali ama? Kama ndiyo tunasafari ndefu sana kufikia ukombozi wa kweli kwa sababu tusipende kuwapa matumaini wananchi wakati sisi tunatenda kinyume.
 
Back
Top Bottom