iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
Nimeweka kama maswali ya angalizoKwa iyo unataka kusema ni propagada za magharibi kama mlivyozoea kusema kwenye zile video za watu wakichinjwa?!
Hivi na balali alikufa?
Nimeweka kama maswali ya angalizoKwa iyo unataka kusema ni propagada za magharibi kama mlivyozoea kusema kwenye zile video za watu wakichinjwa?!
Mimi nilininukuu toka CNN. Hawezi kuwa kastaf ila alikuwa offduty secret police.Labda uniambie kama ni taarifa mpya baada ya uchunguzi, mm nilinukuu taarifa za Russia TV siku ya tukio.....
Mimi tuu n ilitaka nijue huyo lowassa unaemsifia maana wewe ni kijana wa bavicha moja kwaa moja.namchukia na ntaendelea kumchukia kwanza hata yeye ni fisadi na pia hii ni kazi unaleta ujinga wa kusema alifanya ufisadi kipindi cha fulani sasa kwani unadhani magu atakamata mafisadi ?mpaka labda muda wake upite ndio itagundulika mafisadi wa kipindi chake na atakayekuwa madarakani ndo atakuwa na dhamana ya kuwakamata ............. ssm wapuuzi mbona jk pia hakumkamata lowasa na alisimama hadharani akauambia uma kuwa lowasa ni fisadi
huu ni mchezo wenu nyie ccm kutupigisha stori za kipuuzi puuzi kwenda zako huko
wengine kawataja kwa skendo zao lkn LOwassa kamtaja directly....dah Lowassa ana kaz aiseee
Ni nani huyo....?Mwasisi wa magaidi dunian
Naungana nawe mkuu, wasingemmiminia risasi yule kijana, Bali wangemthibiti ili wambane kujua nyuma ya watu walio kuwa kwenye mchezo huo......!!!hapana mkuu hapo wameua ushahidi huyo dogo alipaswa ashikwe apewe mateso makali sana aseme kilichomfanya amuue.
Swadakta mkuu,Kuna chuki inapandikizwa mahali, Muislam wa kweli hawezi kutoa shahada au kutukuza jina la Allah kwa kunyoosha mkono wa kushoto. Shahada hiyo haipo kwenye Uislamu. Kuna nchi zimewekeza gharama kubwa kuiharibu dunia kupitia Dini.
Tuwe makini na udini huu wakupandikizwa chuki ndani yake.
Haya maswali yanahitaji watu maalumu waliobobea ktk maswala kijeshi na ushushushuHaya ni baadhi ya maswali magumu kuhusu mauaji ya balozi wa urusi nchini uturuki
Swali ambalo limetamalaki ni kwamba,balozi alipigwa karibu risasi nane pale kwenye ukumbi,akadondoka chini,kitu cha kushangaza,damu haionekani pale sakafuni japo kuna sakafu ya vigae
Pili,je mlipuko wa risasi mbona haukusambaza damu na vipande vya nyama?
Tatu,kwa nini na ilikuwaje askari yule aliyemuua balozi wa urusi,hakuwa zamu lakini aliruhusiwa kukaa nyuma ya balozi? Walinzi wa balozi walikuwa wapi?
Nne, kwa nini tukio lile liliendelea kurekodiwa,je mtu wa kamera hakuona haja ya kukimbia?
Tano,katika hali ya kawaida,mtu akipigwa risasi mgongoni atadondokea mbele au nyuma? Naona yule balozi kadondoka na kulalia mgongo
Ni hayo tu,najua jukwaa hill lina magwiji wengi watasaidia majibu
Hata mkuu DOLT WORLD ana hitajika aje atupe maneno mawili au matatuHivi Kahtaan yupo wapi siku hizi?
Nataka aje aamue ugomvi hapa.
hahahahhaha bichwa lako weeKama Movie
Aisee huyo kijana alikuwa amepagawa na majinn makata hamna kingine
Mchezo umechezwa huu mkuu halafu kuna jambo moja nimejiuliza yule balozi alivyopigwa risasi mbona hakutoka damu waka kuonyesha majeraha ya risasi?? kwa kwa kweli sijawahi kuona tukio kama lile maisha yangu. Kabila sr alijaa midamu tele na alikua na limwili likubwa sasa huyo jee?Naungana nawe mkuu, wasingemmiminia risasi yule kijana, Bali wangemthibiti ili wambane kujua nyuma ya watu walio kuwa kwenye mchezo huo......!!!
Daaaahhhh, ndio maana sikushangaa hata Putin alivyoshindwa kwenda kwenye msiba wa swaiba wake Fedel Castro. Maana itakuwa wanausalama wake ndio walikataa hiyo safariMchezo umechezwa huu mkuu halafu kuna jambo moja nimejiuliza yule balozi alivyopigwa risasi mbona hakutoka damu waka kuonyesha majeraha ya risasi?? kwa kwa kweli sijawahi kuona tukio kama lile maisha yangu. Kabila sr alijaa midamu tele na alikua na limwili likubwa sasa huyo jee?
Yule Kitilya wa TRA alifanya ufisadi wakati Wa Kikwete lakini yuko ndani au nimekosea!?Alifanya ufisadi nnuongozi wa kikwete sio wa magufuli.
saivi kafanya? mbona watu wengi waliokuwepo kwenye serikali ya kikwete wapo kwenye serikali ya magufuli?Yule Kitilya wa TRA alifanya ufisadi wakati Wa Kikwete lakini yuko ndani au nimekosea!?
Huwa wana staafu wakiwa ma miaka 22?Taarifa zinasema aliuawa.Ni Polisi mstaafu.
Taarifa zinasema aliuawa.Ni Polisi mstaafu.