Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

namchukia na ntaendelea kumchukia kwanza hata yeye ni fisadi na pia hii ni kazi unaleta ujinga wa kusema alifanya ufisadi kipindi cha fulani sasa kwani unadhani magu atakamata mafisadi ?mpaka labda muda wake upite ndio itagundulika mafisadi wa kipindi chake na atakayekuwa madarakani ndo atakuwa na dhamana ya kuwakamata ............. ssm wapuuzi mbona jk pia hakumkamata lowasa na alisimama hadharani akauambia uma kuwa lowasa ni fisadi


huu ni mchezo wenu nyie ccm kutupigisha stori za kipuuzi puuzi kwenda zako huko
Mimi tuu n ilitaka nijue huyo lowassa unaemsifia maana wewe ni kijana wa bavicha moja kwaa moja.
 
Kuna chuki inapandikizwa mahali, Muislam wa kweli hawezi kutoa shahada au kutukuza jina la Allah kwa kunyoosha mkono wa kushoto. Shahada hiyo haipo kwenye Uislamu. Kuna nchi zimewekeza gharama kubwa kuiharibu dunia kupitia Dini.

Tuwe makini na udini huu wakupandikizwa chuki ndani yake.
4a04e36c752b4fe10328ef9708905a9f.jpg
Swadakta mkuu,
 
Haya ni baadhi ya maswali magumu kuhusu mauaji ya balozi wa urusi nchini uturuki

Swali ambalo limetamalaki ni kwamba,balozi alipigwa karibu risasi nane pale kwenye ukumbi,akadondoka chini,kitu cha kushangaza,damu haionekani pale sakafuni japo kuna sakafu ya vigae

Pili,je mlipuko wa risasi mbona haukusambaza damu na vipande vya nyama?

Tatu,kwa nini na ilikuwaje askari yule aliyemuua balozi wa urusi,hakuwa zamu lakini aliruhusiwa kukaa nyuma ya balozi? Walinzi wa balozi walikuwa wapi?

Nne, kwa nini tukio lile liliendelea kurekodiwa,je mtu wa kamera hakuona haja ya kukimbia?

Tano,katika hali ya kawaida,mtu akipigwa risasi mgongoni atadondokea mbele au nyuma? Naona yule balozi kadondoka na kulalia mgongo

Ni hayo tu,najua jukwaa hill lina magwiji wengi watasaidia majibu
Haya maswali yanahitaji watu maalumu waliobobea ktk maswala kijeshi na ushushushu
 
uchunguzu ufanyike haiwezekani muuwwji awe free namna ile na mtu aingie kenye ukumbi na silaha akiwa hauupo kazini japo alikuwa askari,kwa muonekano huu hata rais angeuwawa watu wanaingia na risasi kwenye pared!huo ni uhuni wa serikali ya uturuki kama kulipa kisasi kwa kupoteza askari wao wengi huko allepo syria!
 
Naungana nawe mkuu, wasingemmiminia risasi yule kijana, Bali wangemthibiti ili wambane kujua nyuma ya watu walio kuwa kwenye mchezo huo......!!!
Mchezo umechezwa huu mkuu halafu kuna jambo moja nimejiuliza yule balozi alivyopigwa risasi mbona hakutoka damu waka kuonyesha majeraha ya risasi?? kwa kwa kweli sijawahi kuona tukio kama lile maisha yangu. Kabila sr alijaa midamu tele na alikua na limwili likubwa sasa huyo jee?
 
Mchezo umechezwa huu mkuu halafu kuna jambo moja nimejiuliza yule balozi alivyopigwa risasi mbona hakutoka damu waka kuonyesha majeraha ya risasi?? kwa kwa kweli sijawahi kuona tukio kama lile maisha yangu. Kabila sr alijaa midamu tele na alikua na limwili likubwa sasa huyo jee?
Daaaahhhh, ndio maana sikushangaa hata Putin alivyoshindwa kwenda kwenye msiba wa swaiba wake Fedel Castro. Maana itakuwa wanausalama wake ndio walikataa hiyo safari
 
Back
Top Bottom