Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Ni nani huyu Candid Scope
Mwandishi wa Gezeti la Tanzania Daima jana alipigwa na polisi alipokuwa kazini katika mahakama mjini Iringa alipotaka kumpiga picha huyu mtu alipoletwa mahakamani kusomewa mashtaka ya........ Umempata sasa?
Mwangos's murderer!
kuna mengi nyuma ya pazia eh!Yah! Huyu ndo alimfanyizia Mwangosi! Hivi inshu imefikia wapi?
Mwandishi wa Gezeti la Tanzania Daima jana alipigwa na polisi alipokuwa kazini katika mahakama mjini Iringa alipotaka kumpiga picha huyu mtu alipoletwa mahakamani kusomewa mashtaka ya........ Umempata sasa?
Askari kalegea namna hiyo!
Wenzake waliomuua Fundikila wamehukumiwa kifungo cha Muhamed Machemical tena jaji kasema wanyongwe HADI kufa!
Sasa nae akae tayari kupigwa bisu!