Picha, je mwamkumbuka huyu?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
polisi.jpg
 
Ni nani huyu Candid Scope

Mwandishi wa Gezeti la Tanzania Daima jana alipigwa na polisi alipokuwa kazini katika mahakama mjini Iringa alipotaka kumpiga picha huyu mtu alipoletwa mahakamani kusomewa mashtaka ya........ Umempata sasa?
 
Yah! Huyu ndo alimfanyizia Mwangosi! Hivi inshu imefikia wapi?
 
Ahaaa...!!! huyu ndio aliemuua Mpambanaji

Mwandishi wa Gezeti la Tanzania Daima jana alipigwa na polisi alipokuwa kazini katika mahakama mjini Iringa alipotaka kumpiga picha huyu mtu alipoletwa mahakamani kusomewa mashtaka ya........ Umempata sasa?
 
Wenzake waliomuua Fundikila wamehukumiwa kifungo cha Muhamed Machemical tena jaji kasema wanyongwe HADI kufa!

Sasa nae akae tayari kupigwa bisu!
 
Hizi ajira nyingine bana, unatekeleza maagizo ya wakubwa zako kisha ukipatikana na hatia wakubwa wanaingia mitini peke yako unabeba hukumu. Kwa nini asijenge utetezi kwamba aliagizwa na mkuu wake kuua? Woga mwingine bana hata haiingii akilini mwangu.
 
Hapana hatakiwi kujifanya innocent kalegea utafkiria nanilii ,kesi hyo mpaka hapo ni kuzugia 2 siasa tupu ,mnahs kwann wanazuia aspigwe pcha ?.ufala m2pu kudidimiza harakati za wapambanaji ,thats our tz !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom