PICHA: Je, DC bora ni huyu?

Huyo ni yule bwabwa wa kijani kutokea Unguja?
Akiendelea kuongoza ataharibu tabia za watoto wenu huko Tanganyika

Taarifa za ubwabwa wake zilitolewa rasmi na wanaCCM wenyewe na kuungwa mkono na baadhi ya viongozi wao.
 
#NoReformsNoElection
 
Mzamzibari anaruhusiwa kuwa DC Tanganyika! Ila Mtanganyika haruhusiwi kuwa DC Zanzibar!
Kwa kweli tuna Muungano wa kijinga sana. Na kwa hali hii, Rais aina ya Tundu Lissu anahitajika sana ili atuondolea huu ujinga.
Sijawahi kukucheka leo nakucheka sasa tundu lissu ananini?? Yaani mie sipendagi tu mtu akinyanyanyaswa Tundu lissu hayupo robo tatu yake Magufuli . Huyu baba akishika nchi kwaheri tz
 
CCM wamemkatili kumtoa kwenye ndoa yake kule Mombasa alikuwa akiishi vizuri tu na mume wake.
 
Sasa kipi Cha ajabu alichokifanya hapo ambacho so special kwake Hadi apewe nafasi kubwa zaidi ya hiyo?

Au we kakutuma umpigie kampeni za hovyo kiasi hiki?

Mi nikajua labda akachukua watoto wote wa kilosa anawalipia ada na gharama zote !! KUMBE kumwakilisha Mkuu wa Mkoa tu basi?!!!
 
Arudi kwao Zanzibar, haya mambo ya wazanzibari kupewa vyeo bara ila wabara kubaniwa Zanzibar hayapo fair.
Waambie ukweli Hawa wazenj wao ni wabaguzi sana! Wanapewa KAZI hata wizara zisizo za muungano km tamisemi!
 
Huyu kwanini wamemnyima hata u-RC tu?
Akapewe U RC kwao Zanzibar. Ni kuendelea kuvunja Katiba kuwa na MA DC Wazanzibari hapa Tanganyika. TAMISEMI sio suala la Muungano. Apelekwe kura DC MWANAKWEREKWE au TUMBE
 
Huyu apewe U-RC walau ndio level yake Samia anakwama wapi?
 
Akapewe U RC kwao Zanzibar. Ni kuendelea kuvunja Katiba kuwa na MA DC Wazanzibari hapa Tanganyika. TAMISEMI sio suala la Muungano. Apelekwe kura DC MWANAKWEREKWE au TUMBE
Kama hutaki Muungano hama hii nchi

Ova,
 
Aise,
 
Shaka UDC ni kejeli sana kwake huwezi kutoka Mwenezi wa Taifa kuwa DC hapa Mama hakututendea haki
 
Huyu jamaa alipotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…