Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

Serikali inashindwa nini kufanya fund raise za kiwilaya ili kuamua kwa dhati kuondoa tatizo la madawati Tanzania?. Au ni yale yale ya kuwa kila mtu na lwake?
 
Wakati wa ukoloni walitugawa na wakaweza kututawala,na hawa viongozi wetu wanatumia mbinu kama hiyo lakini wameibadili kidogo,wanajaribu kukatisha tamaa watoto wasipende shule,kwa sababu wakielimika hawatokubali kuburuzwa,wanajua kama wataelimika,hawatokuja kubali kuambiwa hatuna umeme kwa sababu hatuna mvua au hakuna umeme kwa sababu mabwawa yamejaa maji sana!
 
inanikumbusha 1989 tulikuwa tunakalia mawe. Kila dent na jiwe lake! Ingewezekana kabisa tatizo hili kuwa limeshamalizwa mpaka dakika hii! nilifikiri ni kwetu tu Ukerewe, kumbe mpaka darisalama wanakaa chini!!!
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Mambo ya NDIYO MZEE. Naona kama wako kwenye PRACTICAL mwezini vile. Miaka 50 ya Tanganyika Huru! Katibu mwenezi una kesi ya kujibu hapa. Kwanini madawati ni mengi kuliko wanafunzi na madarasa?
 
Tatizo sisi tunalalamika sana,Hebu basi kichwa ngumu mmoja alianzishe sisi tupo tutafuata nyayo.
 
But you must think deep on this be course everything comes with both positives and negatives brother, things can change and become like the way you wish but at the end of the day ukatamani hali ya sasa tena. Kiukweli sote twataka mabadiliko ila tuone tunapataje hayo mabadiliko. I am very much doubting on our beloved mama, sisters and youngs. Tanzania Yes for changes but think HOW?
 
Ndio...kwa nini wakodi helicopter la mamilioni in the first place?

wanakimbia nini? hawataki kuona reality on the ground?

huku tunalalama CCM wafujaji alternative nao ndio kama hivyo kwa matanuzi hawawezeki

Wangefanya nini wakati CCM miaka zaidi ya 40 hawajajenga barabara kuwafikia wananchi vijijini? Kwani chadema ndo wenye serikali? Yahani unafananisha maisha ya mtu mwenye ndoa na asiye na ndoa? Kafikirie tena nyie ndo mnamdanganya mwenzenu no maana anasema serikali haiwezi kuwa wingu
 
Tatizo sisi tunalalamika sana,Hebu basi kichwa ngumu mmoja alianzishe sisi tupo tutafuata nyayo.

Kulalamika ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe panapohusika. Kuna anayepaswa kuwajibika kwa hili, mambo haya hayapo kwenye shule binafsi ambapo kila mzazi anachagua pa kumpeleka mwanaye. Kwa hawa wadogo zetu hawana wa kuwasemea ndo maana wanapiga pepa juu ya mchanga kwa nidhamu ya hali ya juu. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuliongelea hili na kuwakumbusha watawala majukumu yao. Hapa ndipo mahali muafaka pa kuhamishia posho zote za wabunge, mawaziri na wakurugenzi. hivyo ni vyanzo tosha vya mapato kwa hili kabla hata ya kuanza kuchangishana vijisenti vyetu. Chenji ya RADAR nayo itasaidia.
 
JK kama atashtuka kwa picha hii mii Ntashangaa sana, kama kashindwa kushtuka kwenye suala la UMEME Sembuse watoto wasio wake kukaa chini??, Ana muda??
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Haiwezekani ukapeleka mboga kwa mwanamke aliyekataa posa yako na kuolewa na bwana mwingine wakati mumewe bado yupo na anastarehe ila familia inalala njaa!
 
Hiyo ndio bongo yetu ukiwa Kiongozi kula usibakishe hata kidogo wakati wa uchaguzi ukifika Kampeni ni nyingi na gharama za Kampeni ni nyingi ahadi za uongo ni nyingi sana mimi mkinichaguwa nitawajengeeni Gorofa bure Kijijini kwenu Nitawajengeeni Mahospitali ya bure na kadhalika ahadi za uongo mtupu Karibu Viongozi wa Serikali karibu zote za kiafrika ni Wezi sana hawaonei huruma Wananchi wao hiyo ndio Tanzania yetu ukipata uongozi kula usibakishe hata kidogo. Ee Mwenyeezi mungu tupatie Viongozi wenye kuwaonea huruma Wanyonge amin.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

halafu mijitu ikifa mara oh alikuwa mwadilifu, mara mpenda watu, mchapakazi. Kuna uchapakazi gani kwa serikali nzima ya Kikwete watoto wako hivi. Kuna kupenda kupi kama watoto hatuwapendi, kuna uadilifu gani anatembea dunia nzima watoto wanasoma mchangani. Halafu mnasema apumzike kwa amani, hakuna kupumzika anakwenda kujibu ukatili anaoufanyia taifa na serikali yake
 
Inaniuma sana kuona GVT yetu inavyotumia vibaya mali na watoto wa uswazi wanapata shida hivyo. Amini tunatengeneza mapinduzi kiulainii hapo hao ndo watakaoandamana kutafuta haki wanayonyimwa hapo. TZ is not supposed to be like that. Nasi wananchi kama wao wameshindwa tuwasidie kwa kuwanunulia hao vijana madawati hata kwa harambee jamani is painful mana matatizo yao hayo hayasubiri 2015. JK anayaona haya au hayaoni kama ana moyo na anayaona haya aelekeze nguvu huko kama hakuna pesa serikalini awakamue washkaji zake wafanyabiashara wezi hao wachangie madawati. Utasikia eti MESI no. 2 ndo itaddress haya u are lying act now gvt the situation is not good.
 
Back
Top Bottom