Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,406
- 5,996
Stori za vijiweni, kwa yote anayoyafanya hakuna wa kumpinga Samia.Kukaa madarakani kwa nguvu, ndiyo iwe "lugha ya wazi na kueleweka"? Nilijuwa akili yako imeharibiwa na utapeli ulio wazi, lakini sikujuwa kuwa nyote mpo desperate kiasi hiki.
Sasa hapa unataka kulazimisha jambo ambalo unajuwa halitakuwepo??
Ndani ya CCM yenyewe mnakuwa na hofu kumpitisha; huku nje ndiyo muone rahisi?
Ni kweli, na karibia 45% ya Watanzania ni wajinga sana na hawajitambui kwahiyo ni kweli ushawishi jamaa anao wa kiasi kikubwa tu
Bora ingekua hiyo 45%...Nchi yetu bado Sana ni Kati ya 65% na 75%! Tatizo kubwa hata wale tunaowaita Wasomi na wao wameamua kuwa wajinga otherwise ingekua 55%Ni kweli, na karibia 45% ya Watanzania ni wajinga sana na hawajitambui kwahiyo ni kweli ushawishi jamaa anao wa kiasi kikubwa tu
Samia Suluhu Hassan atabaki madarakani kwa njia moja tu; ya kutumia nguvu, na hata pengine kumwaga damu ya waTanzania; vinginevyo hana njia nyingine. Akiingia kwenye uchaguzi HURU na HAKI ataaibika sana.Stori za vijiweni, kwa yote anayoyafanya hakuna wa kumpinga Samia.
ma-Apostles wanampongeza MAMA kwa kumdhibiti mropokaji GWAJI BOY, amewaondolea ushindaniSiku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Jipe moyo kaka, kila rais huwa mnasema hapendwi na hawezi kushinda kura.Samia Suluhu Hassan atabaki madarakani kwa njia moja tu; ya kutumia nguvu, na hata pengine kumwaga damu ya waTanzania; vinginevyo hana njia nyingine. Akiingia kwenye uchaguzi HURU na HAKI ataaibika sana.
Ataishia ubunge kanisa ndio byee kwa mwamposa patakuwa pa mwakosa hesabu muda weka moyoni... project is end 😢Huyu jamaa ana ushawishi sana,mama hakwenda pale kwa bahati mbaya..
Kaka, umesema WAJINGA? Sheikh alikiwepo, rais na kampani yako yote walikuwepo, rais mstaafu nae alikuwepo, hao wote unawaita WAJINGA? Can't be broUshawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
Wewe wasemaKaka, umesema WAJINGA? Sheikh alikiwepo, rais na kampani yako yote walikuwepo, rais mstaafu nae alikuwepo, hao wote unawaita WAJINGA? Can't be bro
Katinga kama raisi na sio kama bintiRaisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Nani ,yule kunanilii wake za watuMwenye suti light blue anacheka cheka sanA
mWanamke hata awe nani zile tabia za kike haziishi,huyu Chura kawa karibu na bulldozer ili kuwatisha kina Gwajima na katoriki wakina Kitima