Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,409
- 5,996
Samia anapotangaza ilani ni muongozo unaoongoza serikali kwa miaka mitano inayofuatia, inagusa maisha mazima ya mtanzania.Muda unaousubiri ni wa kuiba uchaguzi ili Samia na GENGE lenu libaki madarakani bila ridhaa ya wananchi.
Kama unataka "muda uongee", kubalini marekebisho ya kanuni za uchaguzi. Samia akichaguliwa kwa taratibu hizo, mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa kumongeza.
Uongo Leo,Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?
Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?
Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.
Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
Mtumishi wa MumguSiku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Mwambie zitengenezwe kanuni za uchaguzi HURU.Hakuna sababu ya kuiba kura ikiwa maji yanaendelea kusambazwa nchi nzima.
Nimewahi Kuandika mara nyingi kwamba asilimia 95.5% ya watu wote wenye ushawishi Kwa career yeyote Ile wanakuwaga watu wa system au wanatumika na system Kwa sababu maalumu .Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Hapo uanamke wake unahusikaje?Mwenye suti light blue anacheka cheka sanA
mWanamke hata awe nani zile tabia za kike haziishi,huyu Chura kawa karibu na bulldozer ili kuwatisha kina Gwajima na katoriki wakina Kitima
Hata zikiwa huru kiasi gani, huwezi kushindana na rais anayekuwepo ikulu ambaye mwaka mzima kwa vitendo anatekeleza ilani inayomuweka madarakani.Mwambie zitengenezwe kanuni za uchaguzi HURU.
Ndiyo maana ni lazima tumuondoe kwa nguvu sasa; kwa sababu GENGE lenu mnalazimisha abaki kwa nguvu.Hata zikiwa huru kiasi gani, huwezi kushindana na rais anayekuwepo ikulu ambaye mwaka mzima kwa vitendo anatekeleza ilani inayomuweka madarakani.
DuuuhMWAMPOSA NI BOSS WAO WOTE HAPO KWENYE PICHA
Mwampos hajui sifa wala kuvaa suti!Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Subiri October ndipo utagundua kuwa kundi lenu lina watu wachache wanaoishia kupiga makelele instagram na humu JF.Ndiyo maana ni lazima tumuondoe kwa nguvu sasa; kwa sababu GENGE lenu mnalazimisha abaki kwa nguvu.
Kwa hiyo usidanganye waTanzania wanamweka hao kwa kura zao za HAKI.
Ni halali yetu kumwondoa, kwa sababu hana ridhaa ya wananchi.
Ivi pale mafuta alikanyaga in-directly eee?Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
kama hayo usemayo inkwell, halali nchi hii iwe na utapiamlo kiuchumiHawa wasaidizi wa Mwamposa Pastor Tonny (suti rangi ya light blue anayecheka) na huyo Mpemba(mwenye suti dark blue na miwani anyetambulishwa na Bulldozer) ni watu wa System na hili limeratibiwa kuunganisha haya makanisa kuelekea Oktoba kukiwa na vuguvugu la Gwajima na baadhi ya Wachungaji/viongozi wa dini na manabii kuwa na muendelezo wa kuikosoa/kuitabiria mabaya Regime ya Samia.
Swali ninalojiuliza Mwamposa pekee itakiwa msingi wa kurudisha Imani ya Wakristo kwa Samia's Regime hasa Makanisa ya Manabii sababu Antony Lusekelo hakuficha alifunguka wazi kuna baadhi yao wanamchukia namba 1 ila ni wachache mnoo ukilinganisha na idadi ya wanao mkubali.
Kukaa madarakani kwa nguvu, ndiyo iwe "lugha ya wazi na kueleweka"? Nilijuwa akili yako imeharibiwa na utapeli ulio wazi, lakini sikujuwa kuwa nyote mpo desperate kiasi hiki.Subiri October ndipo utagundua kuwa kundi lenu lina watu wachache wanaoishia kupiga makelele instagram na humu JF.
Subiri October utapata majibu kwa lugha ya wazi na yenye kueleweka.
Mtaji mkubwa WA wanasisasa ni wajingaUshawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua