Different people , they discuss the same businessSiku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Ushawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambuaHuyu jamaa ana ushawishi sana,mama hakwenda pale kwa bahati mbaya..
Kwasababu madhabahu hayana thamani ni takatakaRaisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Kuna kitu kinaitwa mission impossible ogopa sana hyo...Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Tena Takataka ya kuchoma kwa moto wa petrol kabisaKwasababu madhabahu hayana thamani ni takataka
Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046
Kamkili kristo ili aendelee kutawalaHuyu jamaa ana ushawishi sana,mama hakwenda pale kwa bahati mbaya..
Pesa zake kwa CCM ndizo zinazoongea, vinginevyo tukio la mauaji Moshi lingemfunga.Huyu jamaa ana ushawishi sana,mama hakwenda pale kwa bahati mbaya..
Ni kweli, na karibia 45% ya Watanzania ni wajinga sana na hawajitambui kwahiyo ni kweli ushawishi jamaa anao wa kiasi kikubwa tuUshawishi wake upo kwa wajinga tu na watu wasiojitambua
Kwa namna wanyakyusa walivona masikhara usikute hapo anasema"na aka kenye suti nyeusi Nako nimekapeleka vilevile ko usiwe na wasiwasi,yatakua sawa tuuh.HATAUSIWAZE"Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
View attachment 3396046