kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,335
- 7,745
Hapana hajampa ps wake maana angevujisha taarifa,amejiandikia na kufunga bahasha mwenyewe ili msitajwe mkakimbia!Hivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?
