Hewa mkaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 748
- 386
Yeah hata ile orodha yake ya kwanza ilikuwa na mapungufu. Baadhi ya Majina yaliandikwa mojamoja na hayakuwa na anwani kamili. Sisi waswahili tuna Majina ya kufanafanana. Si ajabu hili ndo limechangia mwitikio wa kuripoti polisi kuwa mdogoView attachment 470336
MAJINA YA WAUZAJI MADAWA YA KULEVYA WAKUBWA.
---------
Hivi ni nani huwa anaandika hizi list za MAKONDA? Huyu aliyeandika hapo juu ya hilo faili alifika la saba kweli?
Kama ni Makonda mwenyewe basi inatakiwa arudi shuleni.