PICHA ILYONIHUZUNISHA EBU IPE MENENO YAKE HII PICHa

PICHA ILYONIHUZUNISHA EBU IPE MENENO YAKE HII PICHa

Inahuzunisha sana pindi aliyekuwa anakujali,kukuliwaza na nguzo yako ya pekee hapa duniani inapokuacha tena mazingira ambayo kupata msaada ni vigumu too sad
 
Nikiiangalia hii picha machozi yananitoka
 
MziziMkavu, inaumiza sana picha hii, Tunapaswa kumshukuru Mungu sana kwa kutulindia wazazi wetu,
 
Last edited by a moderator:
Hata huyo mpiga picha ana moyo wa paka

people nowdays.JPG
 
so sad...kweli dunian kuna mambo ya huzuni.
 
inatia huruma kweli mbona pole yake!!!! kweli hakuna km mama,i love you my mum mwaaaaaaah!
 
This world haiko fear kabisa wakati watu wanakufa na kutaibika namna hiyo kuna wengine wanachochea tu hayo mauaji huku wanakula bata.

Siku ikatokea bianadamu akawa na nguvu kama za Mungu na hii dunia ndio tutakuwa tumefika mwisho
 
Kinachoniuma ni kwamba mtt hajui mama yake kama amekufa analia tu mama mama ili abebwe lo so sad
 
ni kama vile dogo anamwambia : mamaaa dont sleep, our fellows lives us!! wake up! wake up! wake up! (huku akilia)
mkuu samahani niweke sawa hapo kwenye red kusudio lako, maana haka kalugha mpaka nishushie ulanzi ndio naweza ng'amua kitu.
 
Uwiii nimelia eti...Mungu awalinde watoto wote wahanga wa vita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom