Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,847
Wazungu wanasema it's too late kumbe mama ameshafariki zamani fikiria laiti ungelikuwa ndio wewe mdogo namna hiyo na Mama yako ameshafariki au kuuliwa kwenye vita ungelifanyaje? Tuwaheshimu Wazazi wetu jamani.ni kama vile dogo anamwambia : mamaaa dont sleep, our fellows lives us!! wake up! wake up! wake up! (huku akilia)
what so sad ni kwamba ...mazigira yanaonekana no sign ya msaada hats kama still she is brrathing
Wazungu wanasema it's too late kumbe mama ameshafariki zamani fikiria laiti ungelikuwa ndio wewe mdogo namna hiyo na Mama yako ameshafariki au kuuliwa kwenye vita ungelifanyaje? Tuwaheshimu Wazazi wetu jamani.
Wewe fikiria mama yake mzazi amefariki je kuna mtu yoyote yule awezaye kumlea kama mama yake aliyefariki? Jibu hakuna inasikitisha sana.inauma maskini mtt wa watu kaachwa mdogo
Masikini! nimekosa la kusema! Inatia huruma sana, sijui maisha ya huyo mtoto yalikuwaje baada ya Hapo!!