Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Mimi nimependa hiyo picha ambapo rais Jakaya Kikwete anakagua mananasi. Sikuipenda kwa vile ni nzuri sana bali inaonyesha Ghana walivyoamua kumsuta, maana kwa wanaojua mananasi pale Chalinze yasivyo na soko wanashangaa ujasiri wa ikwete kukubali kejeli hii. Hili ni suto ingawa kwa Kikwete si somo kwa vile ni mgumu wa kujifunza. Hivi kweli inaingia akilini kumfundisha mgogo jinsi ya kulima karanga? Ningekuwa Kikwete ningekwepa mtego huu ambao ni aibu na suto kwangu. Kwa vile Kikwete si mtu wa namna hiyo anaweza kugeuzwa kituko popote pale na asiipate. Hiyo ya marais wastaafu ni nzuri ingawa nao ni mzigo wa taifa kutokana na legacies zao.
KAKA usikurupuke fuatilia kwanza ndo uzungumze,aina ya mananasi ayo ni tofauti na aya ya kwetu,iyo mbegu inauzika nje tofauti na hii ya kwetu ambayo aina soko nje.
Ninafahamu kuwa rais Kikwete analima mananasi. Nadhani na yeye anapaswa kujifunza jinsi ya kuzalisha mananasi mazuri kabla hajapeleka watu wengine kujifunzaHii ni aibu...au labda usanii! Yaani JK kweli ashangae 'kinanasi' hiki wakati pale jimboni9 kwake tu Kiwangwa na Gongo wanatoa 'mijinanasi' mpingo mikubwa ajabu! Delmonte na Azam wote wamechemsha kununua, watafutie soko hawa sio kushangaa vinanasi vyenye utapia mlo!
Hii ni aibu...au labda usanii! Yaani JK kweli ashangae 'kinanasi' hiki wakati pale jimboni9 kwake tu Kiwangwa na Gongo wanatoa 'mijinanasi' mpingo mikubwa ajabu! Delmonte na Azam wote wamechemsha kununua, watafutie soko hawa sio kushangaa vinanasi vyenye utapia mlo!
KAKA usikurupuke fuatilia kwanza ndo uzungumze,aina ya mananasi ayo ni tofauti na aya ya kwetu,iyo mbegu inauzika nje tofauti na hii ya kwetu ambayo aina soko nje.
Ninafahamu kuwa rais Kikwete analima mananasi. Nadhani na yeye anapaswa kujifunza jinsi ya kuzalisha mananasi mazuri kabla hajapeleka watu wengine kujifunza