Picha iliyonivutia leo hii

Picha iliyonivutia leo hii

546327_10150647473110658_135806039_n.jpg
 
KAKA usikurupuke fuatilia kwanza ndo uzungumze,aina ya mananasi ayo ni tofauti na aya ya kwetu,iyo mbegu inauzika nje tofauti na hii ya kwetu ambayo aina soko nje.

Na 'iyo' inayouzika nje mbegu inapatikana mbinguni?
Call this uzembe na uzururaji. Enzi za mwalimu huyu prezidaa angewekwa jela kwa uzururaji
 
Back
Top Bottom