PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

Jose Mujica huyo wala hana hata makuu
 
sasa kama unazijua zilipo hizo nchi sasa far east umeiandika ya nn? Ww lazma utakuwa zao la Mulugo

Sasa Kama Unajua Mimi Ni Zao La Mulugo Unachohangaika Na Mimi Ni Nini? Watu Mliozoea Kushikishwa UKUTA Na KUPUMULIWA Mna Matatizo.
 

aiyaaa ckujua kama mzee mujica wameshambwagasha,
si walisema ndio rais anaependwa na wanchi wake zaidi duniani?
 
aiyaaa ckujua kama mzee mujica wameshambwagasha,
si walisema ndio rais anaependwa na wanchi wake zaidi duniani?

mkuu naona alikuwa anapendwa na wasio wapiga kura...
 
Sasa mkuu ulipozitaja hizo nchi haukuwa na uhakika kwamba huyo ni rais wa nchi ipi hasa.... Then akaja mchangiaji mwingine akakutajia kwa uhakika kwamba huyo mheshimiwa ni rais wa Uruguay... Sasa kulikuwa kuna sababu gani ya kumshambulia ili tu aonekane yeye hajui ila weye ndo wajua?? hakukuwa na sababu ya kumsuta hivyo Kama wewe kweli ni muungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…