warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Mwanadada mrembo kutoka Nairobi, kenya aitwaye huddah Monroe, ambaye pia ni mfanyabiashara ,hivi karibuni kwenye page yake ya instagram amewaacha mashabiki zake midomo wazi baada ya ku post picha ambayo anaonekana amevalia nguo ya ndani pekee,hali iliyofanya maumbile yake ya ndani kujichora na kuonekana wazi,kitendo ambacho kimelaaniwa na baadhi ya mashabiki zake.