PICHA HIZI NOOOOOOOOMA (Angalia na slides)

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Kijoka 3.jpg Kijoka 1.jpg kijoka 2.jpg kijoka 4.jpg kijoka 5.jpg
kijoka 6.jpg kijoka 7.jpg kijoka 8.jpg kijoka 9.jpg

Nimeziedit toka slides fulani wakuu.
 
Hizi picha zinatumika katika kupima matatizo ya ubongo ambayo huhusichwa na section ya kuona... ukiona picture hizi zinasumbua macho yako basi ujue uta tatizo liitwalo epiplexy naasdemata... ukiwa na umri mkubwa waweza pata tatizo la utaahira... na kuanguka anguka.


Just kidding..........
 
nimegundua kitu....... ukiblink ndo zinafanya effect yake, ukikaza macho hakuna mabadiliko yoyote
 
...Asante Mungu, kumbe @ 53 bado macho na ubongo wangu vipo fit maana najionea kawaida tu..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom