PICHA HII-Watafaulu kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA HII-Watafaulu kweli

Discussion in 'Jamii Photos' started by Msharika, Oct 5, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tafadhali tazama hiyo picha kwa makini, sura zao na kadi iliyopo hapo chini tazama vizuri , kisha wanajiandaaa kufaulu. Yangu macho  form4.jpg
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hicho kimkoba lazima wamepewa na FATAKI
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hehehehe Kaaaazi kweli kweli!:decision:
   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli Wasubirie Kutafunwa na FATAKI kwa zamu!

  Lakini isije ikawa wametoka kwenye graduation ceremony wanaangalia zawadi zao, sababu najiuliza mpiga picha alikuwa wapi? na kwa nini hwakushtukia wakati jamaa anawapiga picha?

  Kwangu haingii akilini kabisa!
   
 5. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Msiwakatishe tamaa wenzenu! Hapa wanapasha nyepesi nyepesi tayari kwa kuchukua point zote tatu!
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu aliyeangalia huku mbona kama waziri mkuu mtarajiwa vile, au macho yangu?
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  MABINTI HUWA WANANIFURAHISHA SAAAANA KWA USAFI.....! angalia vumbi ..lakini soksi safiiiiiiiiiiii....! I HOPE NA CHUPI PIA NI SAFI..!

  HONGERENI KWA HILO..!
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Viti maalum na ma-DC watarajiwa hao! Hivi hawana study rooms au library mpaka waende shambani?
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Huyo wa kwanza kushoto zero ni halali yake kwani hapo anasubiri bwana au majibu fake!
   
 10. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wewe SW wewe post zako bwana huwa zinanichekesha saaaana

  [​IMG]
   
Loading...