Picha hii unaielewaje kiitifaki???

Picha hii unaielewaje kiitifaki???

Nilikuwa nadhani ni kuchafuana tu ila kwa picha hiyo dots zinaanza kujiunga kutengeneza straight line
 
Kwakweli huyu jamaa mwenyewe simuelewi.anyway labda 7bu ya mwezi mchanga huu.
 
miafrica ndivyo tulivyo. ki ukweli hakustahili hata kidogo kuwa hapo watu wanasema ni wivu wa kike ila ingekuwa kwenye nchi zilizoendelea hakika lazima wanahabari wapige kijembe na ingekuwa scandal, obama amtembelee cameroon halafu kwenye picha ya viongozi na wake zao wamuweke mtoto wa cameroon? sijui zaidi wajuzi labda wanajua zaidi, navyojua hili ni la kitaifa zaidi familia ni huko huko sebuleni kwao.
 
Nchi hii lawama tu na endapo JK angekuwa anasafiri na watoto zake kama anavyofanya Obama,kungechimbika!!Ikulu ni ofisi na nyumbani kwa rais....hiyo picha kwani imeigharimu nini nchi?
 
Jamani haya mambo ya Itifaki kuyaleta kwenye familia sio vizuri, mi nadhani huu ni ugeni wa kitaifa na sio wa kifamilia.....

[h=5]
UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOTO NA MASHARTI YAKE KWA WATANGANYIKA...

1. UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO. Serikali ya Tanzania itachukua mkopo wa fedha toka serikali ya Uchina kwa ajili ya Ujenzi .

2. Watapewa tenda ya ujenzi wao Wachina kupitia makampuni yao na mainjinia wao.

3. Wachina Wataiendesha bandari hiyo wao kwa miaka 50... Kurudisha mkopo walitukopesha...

4. KiloMeter 200 za mraba kusini, Mashariki magharibi na Kaskazini... Kusiwepo na bandari ya namna hiyo. Wala kuindeleza bandari ya namna hiyo.

Kwa maana hiyo bandari ya Dsm naTanga hazitapanuliwa wala kuboreshwa... Ili ya Bagamoyo iwe ya kwanza kwa ubora na hii itadumu kwa kipindi cha miaka 50.

5. Upanuzi wa bandari wa Bath 14 wa Bandari ya Dms umepigwa (UTASIMAMISHWA) chini ili kuipa ama kuheshimu na kulinda mkataba wa wachina kwa bandari ya BAGAMOYO...
[/h]
we unadhani mkataba huo utakuwa na mema kwetu? si shukrani tu za kutokunyongwa?
 
Kwani hapo tatzo nnni wajameni? "Charity begins at home!" Unapo andaa viongozi wa kesho lazma uanzie nyumbani kwako. Mtoto ameambatana na wazazi wake kumpokea mgeni sasa kosa lipo wapi? Usifungwe na itifaki za kizungu katika kuonyesha upendo kwa familia yako. We ulitaka awepo nani mbadala? Mbona ma!-raisi wengine kama Obama, Clinton kunawakati wanakuwa na wake zao pamoja na watoto katka safari na matukio ya kitaifa na kimataifa hata nje ya nchi. Tuache wivu na chuki zsizo za kimaendeleo na badala yake tupate neno la kujifunza. Mbona miòngoni mwetu hata kwenye mitoko mwaenda na mahawala badala ya waume au wake zenu. ".....umleavyo ndivyo......"
R1 alishakamatwa uchina hapo anasafisha nyota.
 
Prince riz anamchekeachekea raisi wa china kwa sababu bila hizi gesi za tz dogo angenyongwa china kwa kukamatwa na heroine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Akifanya Mtanzania, maneno ni mengi lakini akifanya Mzungu, watanzania wachache kama wewe mnasema ni USTAARABU.

Lakini huyu inaeleweka kwamba ana mtoto mmoja tu tena na mke mmoja, kwani jamaa ana watoto wangapi? Na mbona kaenda na mmoja tu tena ni yuleyule ambaye kuna uvumi juu yake?
Halafu mzungu ni utamaduni wake kuwa na familia yake kwenye mambo kama haya lakini huyu jamaa yetu mara nyingi hata safari zake hua haendi hata na mkewe iweje leo na dogo awepo?
TAFAKARI CHUKUWA HATUA JATUDANGANYIKI.
 
nchi iko kwenye fedheha kubwa sana, huyu dogo atakuwa amemgeuza dingi msukule, nchi ilishapinduliwa kichawi rais ni rizmoko, jk ni pambo tu
 
Back
Top Bottom