Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
hakuna protokali hapo.Ni shukrani za kuepushiwa kitanzi.
Tatizo hako kavulana ni limbukeni tu sana, kama kalitaka kupiga nao picha si kangekaa katikati ya mama yake na first lady wa China? Au kangekaa pembeni kabisa? Yaani hapo na kusoma kote anaonekana hajaelimika hata kidogo
View attachment 88217Akifanya Mtanzania, maneno ni mengi lakini akifanya Mzungu, watanzania wachache kama wewe mnaita USTAARABU.
Ni kweli hajafanya kosa. Kama umenisoma vizuri hapo juu tatizo ni position aliposimama na si kuwa kwenye picha.Mkuu nadhani hajafanya kosa hapo, lengo ni kupiga picha ya ukumbusho na hao wageni, labda waliokosea ni wazazi wake kumuharibia nia ya picha yake, kuwa katikati yao ilikuwa lengo la hiyo picha. Ni mtazamo!
hakuna protokali hapo.Ni shukrani za kuepushiwa kitanzi.
Kwani hapo tatzo nnni wajameni? "Charity begins at home!" Unapo andaa viongozi wa kesho lazma uanzie nyumbani kwako. Mtoto ameambatana na wazazi wake kumpokea mgeni sasa kosa lipo wapi? Usifungwe na itifaki za kizungu katika kuonyesha upendo kwa familia yako. We ulitaka awepo nani mbadala? Mbona ma!-raisi wengine kama Obama, Clinton kunawakati wanakuwa na wake zao pamoja na watoto katka safari na matukio ya kitaifa na kimataifa hata nje ya nchi. Tuache wivu na chuki zsizo za kimaendeleo na badala yake tupate neno la kujifunza. Mbona miòngoni mwetu hata kwenye mitoko mwaenda na mahawala badala ya waume au wake zenu. ".....umleavyo ndivyo......"
Huyu Rais na RIZIONE si nasikia walishakutana kwenye ile ISSUE!Hamuikumbuki kwani?Watz kwa kusahau bwana!Ile issue ile.....!Ndo mnalipa kwa mikataba ya chap chap.R.I.P Chifu Mangu'ngo.
sisi watu wafupi tuna matatizo sana... kaangalie kajamaa kanakenua tu
kalitakiwa kawe pembeni ile ya kukaa katikati ina maana yake
Common Sense is not Universal Mkuu,,,hahahahahaAma kweli common sense is not lways common!!! RitzOne alitakiwa asimame kushoto kwa Xi Jinping!!
Labda Mkurugenzi mpya wa Itifaki Maharage atarekebisha huu upuuzi wa tendencies za kifalme.
kunyongwa = mikataba 17....:shut-mouth:
Wivu wa kike.