Jamani haya mambo ya Itifaki kuyaleta kwenye familia sio vizuri, mi nadhani huu ni ugeni wa kitaifa na sio wa kifamilia.....
hakuna protokali hapo.Ni shukrani za kuepushiwa kitanzi.
Jamani haya mambo ya Itifaki kuyaleta kwenye familia sio vizuri, mi nadhani huu ni ugeni wa kitaifa na sio wa kifamilia.....
Ukaangalia picha unaweza kufikiria hii hadithi ya Ridhiwani kukamatwa China kuwa ni ya kweliHuyu dogo ndiyo katupelekea kwenye hii mikataba 17.baba yake asingekuwa rais saa hizi tungekuwa tunamsoma kwenye historia tu
Ukaangalia picha unaweza kufikiria hii hadithi ya Riz kukamatwa China kuwa ni ya kweli
Ukaangalia picha unaweza kufikiria hii hadithi ya Ridhiwani kukamatwa China kuwa ni ya kweli