Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Na wewe unamwonea wivu aliyeleta thread.....wivu wa kijinga sana ndo mana hatuendelei
Na wewe unamwonea wivu aliyeleta thread.....wivu wa kijinga sana ndo mana hatuendelei
Acha mambo ya ajabu wewe,Kama in family picture,kwa mini riz asingekaa katikati ya baba na mama Yale,bacalao Yale amekwenda ku kava katikati ya baba na mama Jinping? A ha kutulisha using a wako humu,Kila mtu, na uelewa wake humu jamvini....wewe na Huo wa kwako.Kwani hapo tatzo nnni wajameni? "Charity begins at home!" Unapo andaa viongozi wa kesho lazma uanzie nyumbani kwako. Mtoto ameambatana na wazazi wake kumpokea mgeni sasa kosa lipo wapi? Usifungwe na itifaki za kizungu katika kuonyesha upendo kwa familia yako. We ulitaka awepo nani mbadala? Mbona ma!-raisi wengine kama Obama, Clinton kunawakati wanakuwa na wake zao pamoja na watoto katka safari na matukio ya kitaifa na kimataifa hata nje ya nchi. Tuache wivu na chuki zsizo za kimaendeleo na badala yake tupate neno la kujifunza. Mbona miòngoni mwetu hata kwenye mitoko mwaenda na mahawala badala ya waume au wake zenu. ".....umleavyo ndivyo......"
Pole sana.Kaa tu usubiri bandari kubwa bagamoyohii picha inanikera hii yani kama nipasue kalaptp kangu
Pole sana.Kaa tu usubiri bandari kubwa bagamoyo
hawa watu wametuvuruga sana kama taifa hawa!
ah!
Ila unaweza ukaamua kunufaika na mradi hii kwa kununua kiwanja bagamoyo kabla havijapanda bei.Ni njia nyingine ya kupunguza hasira
presidaa wa china alitaka kumuona dogo aliyesabisha akabidhiwe tz.....
kijana anashuhudia, kwn mmesahau ile ishu ya mtoto wa kigogo aliyekamatwa na madawa ya kulevya na ikatakiwa anyongwe mzee akakwea pipa kwenda kumuokoa, watz tusiwe wasahaulifu, ndiyo hivo wamekuja nackia kuchukua chao mapema kabla wamarekani hawajawapiku.
Mbona wako ki family friend nyumbani baada ya kazi nzito ya mchana, kwani inazuiwa wana familia kufahamiana?Kaingilia itifaki ya watu
Kwani hapo tatzo nnni wajameni? "Charity begins at home!" Unapo andaa viongozi wa kesho lazma uanzie nyumbani kwako. Mtoto ameambatana na wazazi wake kumpokea mgeni sasa kosa lipo wapi? Usifungwe na itifaki za kizungu katika kuonyesha upendo kwa familia yako. We ulitaka awepo nani mbadala? Mbona ma!-raisi wengine kama Obama, Clinton kunawakati wanakuwa na wake zao pamoja na watoto katka safari na matukio ya kitaifa na kimataifa hata nje ya nchi. Tuache wivu na chuki zsizo za kimaendeleo na badala yake tupate neno la kujifunza. Mbona miòngoni mwetu hata kwenye mitoko mwaenda na mahawala badala ya waume au wake zenu. ".....umleavyo ndivyo......"