Picha hii inakukumbusha tukio gani?

Picha hii inakukumbusha tukio gani?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
857
Reaction score
1,652
photo_2025-04-10_10-36-29.jpg
 
Hapo nchi mbingo zilifongoka kwelikweli...
 
Babu yangu alienda huko akiwa mgonjwa sana tena alienda na Chopa nilimind mno.
 
Mbona hamuwataji Kikwete, Lukuvi na Wassira ambao nao walikunywa kikombe cha babu marehemu Mwasapile!

Unajuaje niliwaona?

Kama uliwaona wataje hakuna aliyekukataza.

Usimpe mtu mwingine afanye kazi ya bure ya kijamii ambayo wewe unaona haijafanyika na unaweza kuifanya.

Ifanye wewe.
 
Back
Top Bottom