Yesu wangu!!! 😥😥😥View attachment 1694932View attachment 1694933
Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa.
Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini nimeona jinsi miili ya watu waliokufa inavyochukuliwa kutoka vijiji vya mbali ndanindani D. R. Congo kupelekwa mochwari kwa kuwa hawana uwezo wa kukodisha magari maalum yakubeba miili ya waliofariki (mochwari inapokuwa mbali sana na kijiji),
Kwa hivyo watu wanaamua kuufunga mwili kwa nguo na kuukalisha nyuma ya pikipiki, hivyo dereva wa pikipiki anaupeleka mwili mochwari kwa ajili ya kuuhifadhi. Na safari hii huwa ndefu hadi masaa matano kwa vijiji ambavyo ni mbali sana na mochwari.
Na huu ni upande mwingine wa umasikini unaohuzunisha kwenye vijiji masikini duniani.
Dereva mwenyewe kichwa kibovu,anamwambia kausha,so umeona mawingu hayo? Tuyawahi.Mkuu nimecheka kama vile mazuri, imagine na misitu ya congo afu boda yuko na maiti pekee, mara maiti inamsemesha kuwa apunguze mwendo...
![]()
Huwa nawaza hili nashndwa kuelewa,wengne wapo tayari hata kupgana.Wa Africa tunapenda sana Maiti kuliko hata Mgonjwa!!
mkoa/wilaya gani mkuuhapa hapa bongo nshawahi kukutana na hii
Vita ndio sababuNa utajiri wote wa rasilimali wa Congo, wanaishi kama wako kuzimu
Lazarus lived twice. Once was he resurrected by Jesus Christ after his first death!We all live once
Yaani wanatolewa makwao kijijini walikofariki wanapelekwa mortuary mwendo wa masaa 5 kwa boda boda halafu tena warudishwe kwao kuzikwa? Hii mbona hai make sense? Huko mortuary wanapelekwa kufanya nini sasa?View attachment 1694932View attachment 1694933
Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa.
Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini nimeona jinsi miili ya watu waliokufa inavyochukuliwa kutoka vijiji vya mbali ndanindani D. R. Congo kupelekwa mochwari kwa kuwa hawana uwezo wa kukodisha magari maalum yakubeba miili ya waliofariki (mochwari inapokuwa mbali sana na kijiji),
Kwa hivyo watu wanaamua kuufunga mwili kwa nguo na kuukalisha nyuma ya pikipiki, hivyo dereva wa pikipiki anaupeleka mwili mochwari kwa ajili ya kuuhifadhi. Na safari hii huwa ndefu hadi masaa matano kwa vijiji ambavyo ni mbali sana na mochwari.
Na huu ni upande mwingine wa umasikini unaohuzunisha kwenye vijiji masikini duniani.
Ajabu hii aiseempangaji wa hiyo miili kupandishwa bodaboda au??