Picha hii inakufanya ujiulize nini?

Picha hii inakufanya ujiulize nini?

Bussy ❌
Busy ✅
Ni ujinga wenu na upuuzi wenu mnapigana. Eti wapo busy kuhakikisha hampati amani. Sasa na ninyi hamna akili ya kujua kuwa mnataka amani? Upumbavu ule ule miaka yote. Ukiona wewe na mkeo/familia yako mnagombanishwa wapumbavu ni nyie ambao hamjielewi. Miafrika ni minafiq haikubali kuwa ni minafiq mpaka tena inatafuta wa kumwangushia makosa ya upumbavu wao
Miafrika ni minafiq, miafrika ni minafiq. Inarudiwarudiwa mpaka miafrika yote inajiona kweli ni minafiq!
 
Nimewahi kusikia hata hapa Tanzania watu wanafanya hivyo, tatizo sio umaskini ila kukosa busara tu.
 
Na utajiri wote wa rasilimali wa Congo, wanaishi kama wako kuzimu
Ni nchi yenye uwezo wa kugaramia budget ya afrika nzma hata kwa zaidi ya miaka 100,lakini wanafitiniwa na usa kila kukicha.sidhani Kama Kuna siku Congo itakuwa salama,utajiri wao ndio unao waponza na kuwatesa.
 
Hii inatumika hata kwa waTz wanaoishi machimbo ya Msumbiji. Ukifa kama kwenu ni mikoa ya kusini( Ruvuma) huwa wanasafirisha kwa kutumia pikipiki.
 
Wa Africa tunapenda sana Maiti kuliko hata Mgonjwa!!
hii tabia Sana iko kwa ndg zetu wa mkoa fulani kusini mwa tanzania.wana weza kupigana kabisa au hata kulogana wakigombania marehemu.
 
Hyo biashara sifanyi hata kwa bakora.
Kati Kati ya msitu marehemu kapigwa chafya utajua haujui
 
View attachment 1694932View attachment 1694933

Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa.

Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini nimeona jinsi miili ya watu waliokufa inavyochukuliwa kutoka vijiji vya mbali ndanindani D. R. Congo kupelekwa mochwari kwa kuwa hawana uwezo wa kukodisha magari maalum yakubeba miili ya waliofariki (mochwari inapokuwa mbali sana na kijiji),

Kwa hivyo watu wanaamua kuufunga mwili kwa nguo na kuukalisha nyuma ya pikipiki, hivyo dereva wa pikipiki anaupeleka mwili mochwari kwa ajili ya kuuhifadhi. Na safari hii huwa ndefu hadi masaa matano kwa vijiji ambavyo ni mbali sana na mochwari.

Na huu ni upande mwingine wa umasikini unaohuzunisha kwenye vijiji masikini duniani.

Ayu 14:1​

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
 
Mimi nadhani hao watu wamefia mbali na makwao hivyo wanasafirishwa kupelekwa nyumbani kwa mazishi.

Hai-make sense kusema eti wanapelekwa mochuari. Yani pesa za kusafirisha kwa gari zikosekane kisha za kuhifadhi mwili mochuari ndio zipatikane?
Nafikiri kuna chumvi imeongezwa, nahisi wanapeleka maiti kuzikwa kwao, siyo mochwari!

Watairudishaje tena kijijini kumzika?? Umbali wa masaa 5, akiwa frozen, plus gharama za kuhifadhi?? Kama issue ni ukosefu wa hela.🤔

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yaani wanatolewa makwao kijijini walikofariki wanapelekwa mortuary mwendo wa masaa 5 kwa boda boda halafu tena warudishwe kwao kuzikwa? Hii mbona hai make sense? Huko mortuary wanapelekwa kufanya nini sasa?
Mochwari ndio kama saloon vile
 
Hizo maiti ni kwa watu walipata matatizo nje ya makwao sio swala la kutunza maiti na hao waendesha boda wanalipwa pesa ndefu kwa kazi hiyo ngumu maeneo mengi ya DRC hayana bara bara nzuri kwa hiyo piki piki ndio zinawasaidia kwa shughuli nyingi...
 
Wanyalukolo huwa wanasafirisha sana bale Ubungo Kibo kwenye mafuso ndani ya Tenga. Mwenye fuso anadhani Ni kajimzigo ka kawaida hivyo anachukua pesa kidogo sana ya kusafirishia. Kumbe ndani ya Tenga Kuna maiti imekunjwa ya mtoto au hata mkubwa imekunjwa Kama samaki
 
Bora tu wazike kuliko kuchosha na kumzalilisha marehemu
Kumbe kupanda boda ni udhalilishaji? Kuanzia leo sipandi tena wallah

BTW... yawezekana jamaa kafia mbali na kwao wasamaria wema wameamua kumpeleka marehemu kwa wapendwa wao. Haileti sensi mtu afie makwao afu apelekwe mochware kwa bodaboda.... hayo labda ni mawazo ya mleta mada tu

Hujambo lakini?
 
View attachment 1694932View attachment 1694933

Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa.

Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini nimeona jinsi miili ya watu waliokufa inavyochukuliwa kutoka vijiji vya mbali ndanindani D. R. Congo kupelekwa mochwari kwa kuwa hawana uwezo wa kukodisha magari maalum yakubeba miili ya waliofariki (mochwari inapokuwa mbali sana na kijiji),

Kwa hivyo watu wanaamua kuufunga mwili kwa nguo na kuukalisha nyuma ya pikipiki, hivyo dereva wa pikipiki anaupeleka mwili mochwari kwa ajili ya kuuhifadhi. Na safari hii huwa ndefu hadi masaa matano kwa vijiji ambavyo ni mbali sana na mochwari.

Na huu ni upande mwingine wa umasikini unaohuzunisha kwenye vijiji masikini duniani.
Hypothetical question?

Kwanini wapate tabu yote hiyo kwanini asizikwe tu? Kwani iko wazi haki ya Marehemu ni kuzikwa.

Au ndio ule ufahari unaoonyeshwaga Kati Kati ya wimbi la umasikini?
 
Kwanini wasizike uko uko mtu akishakufa amekufa mwili hauna thamani ukishatoka roho
Umeongea ukweli, kabla sijamaliza kusoma hbr ikaja wazo lako, ndio maana wanataniaga waafrika hatupumziki tukifa tunaenda kuwa mizimu.. hayo masaa matano, mochwari na mtamrudisha tena na huko mtalipa garama, dimensions nyngne naiona ni upandikzwaji wa sisi waafrika kulazimisha ukisasa/civilization na wakati wake bado,
 
Huwa nawaza hili nashndwa kuelewa,wengne wapo tayari hata kupgana.
Ila Kuna watu Fulani waliwah nieleza eti mfano mzazi wako au mtu yeyote ambae ana watoto inatakiwa azikwe Karbu na walipo ndugu zake ili likitokea lakutokea mizimu yake waweze kuifikia kirahisi
Hahaha waafrika huwa hatupumziki, ukifa unakua mzimu hatari sanaa
 
Back
Top Bottom