Ujumbe ni kwamba ilipopatikana tulikuwa viunoni kwa wazazi wa kwanza na hivyo tunazaliwa nayo na hivyo kumilikiwa kwa halali na Shetani. Wazazi wana wajibu wa kututoa kwa Shetani na kutukabidhi kwa aliyetuumba ili walau tuakisi kile ambacho aliyetuumba alihitaji tuwe nacho; yaani tuutawale ulimwengu na vyote vilivyomo na kuvitiisha.
Mkuu hapo siyo tatizo la rangi na kama tatizo ni rangi mbona kuna ma------- weusi tena kupita mkaa labda ni akili ya mzungu na ya sisi waswahili sisi akili yetu ni mgando na tope kila tukilala tunawaza leo tudokoei nini na wazungu wakilala wanabuni kitu gani cha kuvumbua ili maisha yake yawe mazuri pamoja na familia yake huku sisi tunabaki kusononeka na kulalamika basi no tusi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.