herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,378
Usalama hawajui nia ya watu hao, hawajui wanafikiria nini nk.Then mzuie Rias asisogelee Raia!Mfano mkutano na waandishi wa habari,hakikisha waandishi hawajavaa viatu ili wasivitumie kumrushia Rais!
Kaka suala la ulinzi lazima determination ya aina ya threat ifanyike!Mfano kwa physical attack ambayo inaweza kudhuru kwa kuua kwa mcheza karatee,namna pekee ya kuizuia ni kutoruhusu Rais kuwa katika close range namna hiyo mpaka kupeana mkono!Let's be realistic,kwa mwanakaratee anayejua how to kill tukio la kumshika mkono haliwezi kumzuia kutimiza azma yake!Vp akiuachia mkono wa Rais then wewe ukauachia wa kwake ndipo akaamua kufanya attack,nani wa kumzuia?Ni fast and quick,man down!
Turudi kwenye uhalisia,hao waliopangwa kupeana mkono na Rais ni watu ambao usalama wanawajua,why the humiliation?Je,unaamini tukio la kushikwa mkono linaweza zuia physical attack?
Inamaana tukisema haya tunayoona hatufanyi kazi?Wengine tuko addicted na JF tukifika job tunafungua JF halafu tunaminimize kwa desktop!Tunapiga mzigo,alert ikitokea tunafungua as if ni part of work!Iko hivo tuKuleta siasa ktk kazi za watu! Likitokea mtauliza walinzi walikuwa wapi.....acheni hizo jamani.Tufanye kazi
So let's study the guy,alikuwa anajiandaa na nin?Usalama hawajui nia ya watu hao, hawajui wanafikiria nini nk.
Huezi kumzuia aliyejifunza na kufuzu mapigano kwa kumshika mikono pekee zipo mbinu nyingi za kufanya asisababishe madhara kuzuia hata nafasi ya kuanzisha attack asiipate nk.
Hata movement za mtu unazisoma na kujua sasa anajiandaa kuruka, kukimbia, kurusha kiatu nk.
Picha pekee haitoshi kustudy uwe physically kwenye tukio au lete video naeza kutafsiri.So let's study the guy,alikuwa anajiandaa na nin?
Nilisikiaga eti hata kulala na mkewe rais anapangiwa cku maalum sio kila cku yaan kila mmoja hulala chumba chakemimi mambo ya protokali siyajui nilicho ona na kugundua kwenye picha ni kiwa uraisi unachosha
Anapigwa kiufundi kaka na anaachia mwenyeweTatizo hata upige kwa nguvu mkono wa jamaa kwa jinsi alivomshikiria Rais imara kuna hatari ya kumtengua mkono Rais pia au akayumba hata kuanguka..
Acha kimbelembele na ujiaji sijui mtaelika lini ..... Mna macho lakini hamuoni.... Wenzio wanakwambia ni ishu za kiusalama wewe umangangania na kimtazamo chako uchwala sijui ulitakaje sasa!Ukiangalia mkono wa kushoto wa Rais bado haujatua kwenye bega la la anayesalimiana naye,hii inamaana salami ilikuwa bado mbichi!
Ukiangalia kwa umakini picha hizo mbili ya mlinzi wa raisi attention yake ilikuwa katika mkono wa pili wa huyo jamaa anayesalimiana na rais Magufuri na ukiangalia kwa umakini utaona alivyouzuia kwa kiwiko hivyo hivyo kwa mlinzi wa raisi wa Rusia huyo mtoto alipokuwa anasalimiana na rais Putin kuna mkono mwingine wa mtu mzima ulimshika mtoto kwa hiyo mlinzi alikuwa makini na huo mkono mwingine usiweze kuingilia salamu na kuleta usumbufuWatanzania bhana, mtu unajifanya 'ujuaji' hata kwenye fani za watu. Na haya 'mahaba' ya kisiasa ndiyo yanawafanya kuwa mapunguani kabisa kichwani, mmekuwa vihiyo wa kupinga kila jambo.
Haya hebu ona picha hii hapa, alafu sema sasa:
View attachment 395161
Acheni kupayuka na kuropoka ropoka kwenye fani za watu. Ulinzi wa Rais ni profession kabisa yenye codes na ethics zake. Hawafanyi kwa kubahatisha.
-Kaveli-
"utathubutu utalalamika? "hapa ndio nalalamika kwa kutokujua lugha ya Taifa!!!!!!!!!!!!!!!!Mkuu kwa mfano nikikupuuza utadhubutu utalalamika?