Ndio maana hii ikaitwa JF,kuna watu wa aina mbalimbali!Hata hao usalama wengine ni member humu!Hii ni sehemu ya kuelimishaña na sio kuishia kusema "wanajua wenye taaluma zao"!Asante mkuu kwa maelezo yaliyojaa hekima.....
Kuna muda huwa nafikiri kuwa kuna watu wana shida vichwani mwao....
Yaani watu wanajifanya wanajua kila kitu hata vile ambavyo hawana taaluma nazo.....
Hebu lilete hilo tamko? Naamini litakuwepo kwenye Library ya JF!Hao mameya wa CDM si walitoa tamko la kutohudhuria shughuli zote zitakazomhusisha rais jijini DSM baada ya ile ya ufunguzi wa Daraja la Kigamboni kisa wanadhalilishwa na kuhujumiwa?
Imekuaje tena?
Hili jukwaa limekuzidi uwezo,JF imevamiwa!
Hebu lilete hilo tamko? Naamini litakuwepo kwenye Library ya JF!
Hahahaha jaman hapa JF mtaniua..hata sijui mnatoa wapi hivi vihojaHuyu ni Obama kabebwa na mwananchi wake kwa furaha wala hakuna tatizo. Wa kwetu hata kushikwa mkono!
Ndio maana hii ikaitwa JF,kuna watu wa aina mbalimbali!Hata hao usalama wengine ni member humu!Hii ni sehemu ya kuelimishaña na sio kuishia kusema "wanajua wenye taaluma zao"!
Kuna watu wanataaluma and yet they make mistakes!Pamoja na taaluma lakini huwezi kumuondolea mtu asili yake kuhoji na kuangalia mambo kutokana na uelewa wake wa asili alionao!
Hahahaha jaman hapa JF mtaniua..hata sijui mnatoa wapi hivi vihoja
Ntakujibu kwasababu umepunguza utoto!Unauliza maswali kulingana na hisia zako,hiyo ni picha tu lakini niliona video pia!Hao watu ni distinguished guests ambao walikuwa pale kwa mwaliko Mwalimu na Bwana Twaha alikuwa mstari wa mbele katika viti vya jukwaa la waalikwa!It was expected kwamba Rais angeenda kuwapa mikono waalikwa hao,Mara nyingi rais akimaliza hotuba huwa anapita kwa wageni walio line ya mbele jukwaa maalum kuwapa mikono,ntakuweke video za mifano hapa!Wewe ni kihiyo wa next level. Mlinzi anafanya majukumu yake kikazi afu wewe unaleta political critique zako uchwara hapa!!
Hivi wewe kwa akili zako unaamini kabisa kwamba huyo 'usalama' alikurupuka tu kuushika huo mkono eeh? au ana chuki binafsi kwa huyo mtu eeh? teh teh teh.
Hivi unadhani hapo kwenye eneo hilo, ni huyo jamaa pekeeake aliyeshikana mkono na Rais? kwanini iwe yeye pekee ndo azuiwe mkono, unajua mlinzi ali-sense alert gani security-wise? unajua mazingira yalikuwaje hapo kwa muda huo?
Mimi nilikudharau right away jinsi tu nilivyosoma hiyo sentensi yako ya kwanza kabisa ulivyoandika bandiko hili, nakunukuu:
'' Sijui protocol za usalama lakini naona hii si nidhamu...''. Umekiri kabisa kwamba protokali za usalama huzijuwi, then unaasema kwamba huyo mwana-usalama amekosea na hajafanya nidhamu mbele ya Rais. Kitu hukijuwi kabisa hata kidogo, afu umekomaa kukosoa. Una akili timamu wewe?
Tanzania haiishi maajabu. Mkulima wa magimbi huko Uyole, anamkosoa na kumfundisha kazi mwana-usalama wa Rais namna ya kufanya usalama! 😀😀
-Kaveli-
Ntakujibu kwasababu umepunguza utoto!Unauliza maswali kulingana na hisia zako,hiyo ni picha tu lakini niliona video pia!Hao watu ni distinguished guests ambao walikuwa pale kwa mwaliko Mwalimu na Bwana Twaha alikuwa mstari wa mbele katika viti vya jukwaa la waalikwa!It was expected kwamba Rais angeenda kuwapa mikono waalikwa hao,Mara nyingi rais akimaliza hotuba huwa anapita kwa wageni walio line ya mbele jukwaa maalum kuwapa mikono,ntakuweke video za mifano hapa!
Concern yangu ni kuwa tayari usalama walijua Rais atasalimiana na Bwana Twaha kwasababu huyu ndie wakili na aliyetetea madai yao kwa miaka
mingi,na Rais alikuwa pale kuwahakikishia kuwa malalamiko yao yamesikika na serikali itawasaidia!
It was expected Twaha atapeana mkono na Rais,ndio maana akawekwa jukwaa maalum mstari wa mbele ili Rais akipita kuwapa mikono naye awe miongoni mwao!Itakuwa ni fedheha kama usalama haikuwakagua na kuhakikisha hakuna kitu chenye kudhuru katika eneo ambalo Rais angepita kutoa mkono!Naamini walijiridhisha na hilo,ndio maana wakamruhusu Rais kupeana mikono nao!Sasa what harm ambayo imezuiliwa kwa kumshika mkono?Je,kama angekuwa na nia mbaya,angeshindwa kuitekeleza kwasababu tu ya kushikwa mkono mmoja?
Ndio maana nimehoji lakini pia nimesema kwa mtizamo wangu sio heshima kwa mgeni mualikwa aliyekaguliwa kufanyiwa hivyo akisalimiana na Rais!Nakubaliana na maelezo yako....kuhoji na kudadisi ni hulka ya wanadamu lakini kudadisi huko kuwe katika hali ya kutaka kufahamu mambo zaidi hasa kwenye mambo ambayo huna ufahamu nayo........
Sasa kinachoshangaza na ndivyo ilivyo kwa sisi Watanzania ni kuwa kudadisi kwetu na kuhoji ni kama vile mtu anazodoa kwani ni kama vile anarekebisha habari baada ya kuuliza......!!
Yeah,imekuingia hiyo!Kwaheri
Kaona wapi huyo kama si kudandia dandia habari?Mmmh basi sawa
Hebu niwekee nchi picha basi wewe uliyeona!
Mkuu kwa mfano nikikupuuza utadhubutu utalalamika?Peleka ujinga wako huko! Reference yako ni kwa nchi ipi iliyoendelea?
Usishangae hata huyo aliyembeba ni Afisa usalamaMuuza pizza kamuona Obama akamkimbilia na kumnyanyua juu juu kwa bongo ukimfanyia hivyo magufuli watakuokota mhimbili