Picha: Hii imekaaje?

Picha: Hii imekaaje?

Status
Not open for further replies.

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,187
Reaction score
26,209
Sijui protocol za usalama lakini naona hii si nidhamu. Angalieni mkono wa huyo jamaa wa usalama.

IMG_201609250_053943.jpg

Ulivyomshika mtu anayesalimiana na Rais.

Wadau mna maoni gani? Hii imetokea leo.

Nadhani na hapa chini Bon angechelewa kidogo jamaa angeenda kumshika mkono aachie mkono wa Rais. Sio kwa jicho hilo analomkata aisee.

IMG_201609250_065901.jpg
IMG_201609250_053943.jpg
 
kwani rais kalazimishwa kutoa mkono mi naona kabla rais hajatoa mkono huyo mpambe angemzuia maana hapo kama anafanya fujo,kwani rais hajui kuwa kiusalama hapaswi kutoa mkono hovyo

Halafu huyo Mzee anayesalimiana na Mh. Rais, ni kigogo wa chama cha CUF mwanasheria nguli Twaha Issa Taslima ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya CUF baada ya Prof. Lipumba ''kujiuzulu''.

Hapo Mh. Rais katika shughuli nzima alikuwa amezungukwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani waliochaguliwa na wananchi wa jiji la Dar-es-Salaam ndiyo maana rangi ya njano na kijani leo hazikuwepo hivyo salamu na kushikana mkono ni ishara ya kukubali uwepo wa ''wenye jiji''.
 
Halafu ndiye aliyewatetea wananchi hao kipindi chote hicho mpaka leo serikali imewasikiliza na kuahidi kuwajengea!
 
Halafu huyo Mzee anayesalimiana na Mh. Rais, ni kigogo wa chama cha CUF mwanasheria nguli Twaha Issa Taslima ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya CUF baada ya Prof. Lipumba ''kujiuzulu''.

Hapo Mh. Rais katika shughuli nzima alikuwa amezungukwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani waliochaguliwa na wananchi wa jiji la Dar-es-Salaam ndiyo maana rangi ya njano na kijani leo hazikuwepo hivyo salamu na kushikana mkono ni ishara ya kukubali uwepo wa ''wenye jiji''.
Ilikuwa lini hiyo mkuu?
 
Sijaona magwanda kama tulivyotangaziwa jana kuwa yafurike kwa wingi
 
Ukitazama kwa makini hilo jamaa lina bonge la mkono, limeshika kama vice, pamoja na zile pushup itakuwa mwanausalama alihisi mkono wa mtukufu kuteguka tokea begani.
Daaah,huo sasa utani
 
Hiyo kitu hairuhusiwi ku hold/kumshika kiogozi wa juu kwa mda hiyo ipo popote pale duniani!

Kuna wengine wanatumia njia hiyo kumdhuru rais,

Hawa Jamaa wanajua sana majukumu yao hawabahatishi na rais hawezi kuhoji
 
Ukiangalia mkono wa kushoto wa Rais bado haujatua kwenye bega la la anayesalimiana naye,hii inamaana salami ilikuwa bado mbichi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom