PICHA: Henry Kilewo na wenzake mahakamani Tabora

Mungu ataamua kwa haki juu ya Jambo hili.

Kilio cha familia za hawa wanaoteseka hakitapita bure.

Binadamu ni mavumbi tu.Watu wa Mungu wako kwenye maombi mazito na tazama ushindi uu karibu sana.

amina mkuu
 
Kwa kweli hii inasikitisha sana, nafikiri viongozi wanaombea ugaidi! Na ukija kutokea walengwa ni wao, waende wakawaulize Nigeria ugaidi ni nini?
Mungu ibariki Tz na Africa.
 
Ukiona mambo kama haya yanatokea kwenye nchi ujue ukombozi umefika,Chadema ni Mpango wa MUNGU!
 
Kwa kweli hii inasikitisha sana, nafikiri viongozi wanaombea ugaidi! Na ukija kutokea walengwa ni wao, waende wakawaulize Nigeria ugaidi ni nini?
Mungu ibariki Tz na Africa.

Ugaidi haujawahi kutokea Tanzania tangu mwaka 1998. Haya tuyaonayo ni kazi za viongozi wetu wa serikali kudhoofisha upinzani.
 
Hahaha, mwanamume yuko lupango huku anakula kitu ya Dr. Norman Vincent Peale.

Julius Mushi would approve.
 
Amini nawaambia kamwe hawatafanikiwa... Hila mbaya wanazofanya ccm kwa kushirikiana na polis hawatafanikiwa.. NGUVU YA MUNGU ITASHINDA HILA ZA SHETANI. ALUTHA CONTI NUA
 

Attachments

  • Chadefull.jpg
    Chadefull.jpg
    50.6 KB · Views: 107
Ugaidi haujawahi kutokea Tanzania tangu mwaka 1998. Haya tuyaonayo ni kazi za viongozi wetu wa serikali kudhoofisha upinzani.
Kaka Mzee Hemed yani nimemkumbuka OSAMA BIN RADEN angekuwa HAI ageseti Mipango ya Kulipua BONGO ili awafundishe WAPU-MBAVU wa LUMUMBA nini maana ya UGAIDI.MWANAUME ANACHAPA NA ANATANGAZA KUWA NIMECHAPA.
 
Ebu angalia walichomfanyia huyu kijana wa watu!.. Serikali yeyote inayokaribia kuondolewa madarakani hufanya vitu kama hivi
 

Attachments

  • Ulimbo.jpg
    Ulimbo.jpg
    27.2 KB · Views: 91
Kaka Mzee Hemed yani nimemkumbuka OSAMA BIN RADEN angekuwa HAI ageseti Mipango ya Kulipua BONGO ili awafundishe WAPU-MBAVU wa LUMUMBA nini maana ya UGAIDI.MWANAUME ANACHAPA NA ANATANGAZA KUWA NIMECHAPA.

Kaka gaidi furaha yake ni kupiga na kukiri!.. Swali ninalijiuliza gaidi gani anaona mikutano mitatu anapiga mmoja tena wa mpinzani? Gaidi wa kweli asingeona CCM, CUF na CHADEMA, kisha akapiga CHADEMA. Kumbuka mabomu ya ubalozi wa marekani Dar, Nairobi na kufeli kampala. Haya mabomu yaliandaliwa kupigwa kwa wakati mmoja.
 
Hivi hao mbwa wa Lumumba lini rabies itawaua kabla hawajang`ata watu wengi zaidi?hakuna sababu ya kufanya mizaha na maisha ya watu kirahisi hivi.
 
Hizi picha tunaomba muzihifadhi vizuri. Huko tuendako hawa akina Kilewo na wengine wanaoteswa sasa na CCM na vibaraka wake watakumbukwa kila mwaka katika sikukuu ya mashujaa.

Hata Mwalimu alikamatwa na wakoloni Waingereza. Lakini kwa vile wao ni wastaarabu, walimtendea kiutu. Hawa wakoloni weusi wa CCM sio wastaarabu; ni watesi wa Watanzania. Kwa sasa, tunatawaliwa kwa nguvu na CCM.
 
ugaidi ni hatari sana,pale kakosekana lwakatare tu.

unajifarij kwan uliongea sana juu ya kamanda lwakatare,baada ya kuujua ukweli unaumia moyo na kujipa matumain, tumepata taarifa ugaid mnaoubambika kwa cdm wa tabora mmeupanga kiushaid kwa kutumia udhaif wenu kes ya lwakatare nawaambien mmebug meen, nchemba kakimbia kesi singida,na atawasalit sana kwetu cdm kama siafu pamoja twaweza.
 
Ukristo ulienea pale mayahudi walipokuwa wakiwatesa, kuwaua wakristo! Principle in ile ile watu hawawezi kumuunga mkono mkandamizaji, ila watamuunga mkono anayekandamizwa na kuonewa!
 
Back
Top Bottom