PICHA :HECHE AITEKA SUMBAWANGA MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI,(yamsebo nikofiti zaidi)

Kama Heche angeongozana na SUGU, umati ungekuwa zaidi ya huo. Mwaka 2010 wakati wakisubiri matokeo yatangazwe jimboni kwao, walipata habari kuwa SUGU ameshinda Mbeya Mjini, wakaacha kwa muda kusubiri yao na kuanza kuandamana kusherehekea matokeo ya SUGU Mbeya!
 
Halafu kuna "pimbi" wanashinda FB na kununua column za magazeti kuchafua wenzao!

******!
 
Yaaani hadi RAHA Nikiona hivi roho yangu inafurahi coz ukombozi wa kweli hauko mbali, Thnx Makamanda wetu Kazi tunaiona
 
nimefurahi kupita kawaida ngoja nikapige kiroba kwa raha zangu.CHADEMAAAA!!! mwisho wa matatizo. 2015 NCHI lazima irudi tu.
 
mkuu kwani ccm wana aibu wale, wanaweza wakatetea hoja kuwa sumbawanga,kigoma,mbeya na iringa ni kaskazini na wakashinda, unachezea vichwa vya akina Ritz,zomba,Tantawi, ecoli and the like! Kile chama ni balaa, eti wamewachagua lusinde na mwigulu ndo waongoze kampeni sumbawanga, akili au matope!?

Fikra zao zimefikia mwisho na akili zao zimechoka,au wanaogopa kufikiri?Chemba na Bajaji plus handsome boy wassira ndio majembe yao!Hiyo sio akili ni kamasi.
 
CDM need to go beyond that (nieleweke sio kuacha wanachofanya).Hayo tumeyashuhudia miaka zaidi ya mitano sasa!!
Try to be specific, open and positive.
Sema input yako katika kujenga harakati, kuliko kutufumba mawazo yako.
 
Hivi Mwalimu Yamsebo si amezaliwa kabla ya Uhuru?
Hiyo haikuhusu wala si sababu ya kumzuia Yamsebo kuwa Mwakilshi wa wananchi. Huyo Mwl Yamsebo si kama unavyomfikiria wewe,anapendwa sana na wananchi na ni jembe si utani haijalishi umri wake. Uliza kwa hekima upewe CV yake. MAGAMBA MKUBWA WEE!
 
attachment.php


Daaaaah hii nimeikubali sana maana imekaa mkao
 
attachment.php


wananchi walivyojitokeza wenyewe kwenda kumpokea kamanda heche, kijana mwenye sifa za majungu na fitina 0% na uchapaji kazi kwa faida ya walalahoi 98%.





huyo ni heche peke yake akienda kamanda wa anga itakuwaje? Na hiyo ndiyo nguvu ya umma ambao haijawahi kushindwa na kitu chochote kote duniani
 
Wakati kijana Heche anakazana kuleta mabadiliko nchi nzima, kuna kundi la vijana mamluki ndani ya Chadema lenyewe liko Fb kumwaga matusi dhidi ya viongozi wa Chadema na lingine linakaza kutaka urais tu!!!
 
Nampa hongera sana mleta thread hii, topic imekamilika vizuri, kuanzia kichwa cha habari, ina picha za kutosha na maelezo yanayojitosheleza kabisa.
Wengine pia tujifunze kama sio kuiga kabisa.
Safiiii safi sanaaaaaaaa
 
Hivi Sumbawanga siyo karibu na kaskazini? Nina wasiwasi hata kama CHADEMA haijawasomba wanaweza wametembea kwa miguu toka kaskazini aisee
 
Safi saaana! Hao nao ni wachaga?ni kaskazini huku? Hivi kwa Pinda ni wapi vile? Majungu , hila na fitina havilipi hata kidogo. CDM haoooooo!
 
Hiyo haikuhusu wala si sababu ya kumzuia Yamsebo kuwa Mwakilshi wa wananchi. Huyo Mwl Yamsebo si kama unavyomfikiria wewe,anapendwa sana na wananchi na ni jembe si utani haijalishi umri wake. Uliza kwa hekima upewe CV yake. MAGAMBA MKUBWA WEE!
uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?? Hili swali unajua chanzo chake? Hakuna mtu anayehojji uwezo wa Mwalimu Yamsebo kwani wengine wetu tunamjua binafsi na nyumbani kwake tumewahi kufika na kuongea naye. Tafuta chanzo cha swali uweze kujibu kinachoulizwa!
 
attachment.php


Daaaaah hii nimeikubali sana maana imekaa mkao

Hawa watu wamekata tamaa.Tumaini lao liko kwa CDM. CDM hawana budi kuunganisha ngvu na kuwa kitu kimoja katika kuwahakikishia tumaini hilo. Kelele za kuutaka urais zinazopigwa sasa na kwa nguvu zote kabla ya muda muafaka si tu zitarudisha nyuma ari ya wananchi bali pia zitaleta picha moja tu kuwa CDM ni chama cha waroho wa madaraka, wanasaka ulaji na kuifisidi nchi.
 
Back
Top Bottom