PICHA :HECHE AITEKA SUMBAWANGA MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI,(yamsebo nikofiti zaidi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA :HECHE AITEKA SUMBAWANGA MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI,(yamsebo nikofiti zaidi)

Discussion in 'Jamii Photos' started by USTAADHI, Oct 12, 2012.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  View attachment 67867 umati wa watu waliofika kwenye uwanja wa kizwite s/m View attachment 67870 HECHE akisisitiza jambo View attachment 67871 heche akiwa na mh yamsebo View attachment 67872 View attachment 67869 View attachment 67873 View attachment 67868 View attachment 67869 MWENYEKITI WA VIJANA TAIFA NDUGU JOHN HECHE JANA ALISIMAMISHA SHUGHULI ZOTE KATIKA MJI WA SUMBAWANGA BAADA YA WATU WANAOKADIRIWA KUWA IDADI KUBWA YA WATU ZAIDI KUWAHI KUJITOKEZA KATIKA MIKUTANO YA HADHARA KUJITOKEZA KUMLAKI AKIWA ANATOKEA DAR ES SALAAM AKIWA AMEAMBATANA NA MH NORBET YAMSEBO katika hali ya kusisimua watu waendao kwa miguu pamoja na wenye pikipiki zaidi ya 200, magari na baiskeli walijitokeza katika kijiji cha LUSAKA na kuzuia msafara mapema ili kupata nasaha za chadema
  hata baada ya kupita kizuizi hicho cha kwanza msafara ulikutana na maelfu ya watu katika kijiji cha TAMASENGA na kufanya maandamano makubwa yanayozaniwa kutowahi kutokea katika mji huu wa sumbawanga ,bwana heche alionekana muda wote akiwa na faraja kubwa saana aliwaahidi wananchi wa sumbawanga kutegemea kupata ushirikiano wa karibu kutoka chadema na bila kuhofu akaahidi wategemee chadema kuhakikisha inasukuma kuondoa maonevu yanayowakumba `sasa ndugu zangu mkae mkao wa kula mimi kama kiongozi mkuu wa vijana na mjumbe wa kamati kuu ya chama chetu nawaambia hamjakosea kuiunga mkono Chadema na mko katika chama makini na chama chenye dira kama kuna mtu alikosea 2010 arejee rasmi chadema tutahakikisha sumbawanga inaondokana na kero mlizoniambia, mh yamsebo tumulinde wote tumwombee awe ndio chachu na daraja zuri la kufikisha mahitaji yenu kwetu, kuweni pia makini saana huu muda hawa jamaa wa ccm watakuwa wema saana machoni penu ili kufanikisha azma yao ya kurubuni muwapuuze kama walivyofanya ARUMERU,alisema heche huku akishangiliwa saaana
  wakati huo huo CHADEMA MKOA WA RUKWA WAMEMSIMIKA RASMI MH HECHE KUWA MLEZI NA MWANAMAPAMBANO MKUU WA MKOA HUO KWA NAMNA ANAVYOKUBALIKA NA WANANCHI WENGI KATIKA HOTUBA ZAKE HAPA SUMBAWANGA NA RUKWA KWA UJUMLA,
  k
  atika mkutano huo kulikuwa piaa naviongozi mbalimbali wa mkoa wa rukwa,viongozi mwingine aliyejulikana kwa jina 1 la DANFORD aliyeongozana na mh heche
  ntaendelea kuwaleteeni picha zaidi na matukio kulingana na namna network itavyokuwa active kwa sasa mh heche anaendelea na vikao vya ndani kwa sababu pia ccm rukwa wanamikakati ya siri saana isiyokuwa mizuri
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  CDM need to go beyond that (nieleweke sio kuacha wanachofanya).Hayo tumeyashuhudia miaka zaidi ya mitano sasa!!
   
 3. Bally B

  Bally B Senior Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 11, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tupo pamoja Wana wana chadema wote - sumbawanga juuu
   
 4. S

  Sagamikotdt Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio nguvu ya umma bwanaaaaaaaaaa
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  dah ... asiye na macho na aendelee kutetea ushabiki humu jf .... eti cdm ni ya kaskazini ..... watanzania wa Leo siyo wajinga bana
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nape alienda sumbawanga akatumia Karibu milioni 50 kusomba watu kwa kutumia kile kifungu chao cha operation jaza uwanja Lakini CDM imetumia milioni 0 kukusanya hao wanaonekana hapo tena hawana kifungu Kama hicho kwenye budget zao
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Wananchi walivyojitokeza wenyewe kwenda kumpokea Kamanda Heche, kijana mwenye sifa za Majungu na fitina 0% na Uchapaji kazi kwa faida ya walalahoi 98%.
   
 8. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  unazungumzia nini? au ndio kuanza kupotosha maada mapema unamaanisha chadema sasa waache kufanya mikutano mikubwa ama nini mkuu?!!! kuwa wazi ueleweke maana sisi taarifa tutaifikisha kama sio ya hila
   
 9. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Heche ni jembe sana
   
 10. M

  Mndokanyi JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Keep up Heche!!!!.Freedom is coming tomorrow,get up and get ready for the freedom.Freedom from corruption,brutality and unlawful acts.
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  WANASUMBAWANGA WAMEKUJA WENYEWE SI KWA KURUBUNIWA NA PILAU NYAMA...
  KWA HII NYOMI M4C HAIKWEPEKI NA MABADILIKO NI LAZMA
  [​IMG]

  KWELI MAKAMANDA HAKUNA KULALA, MZEE YAMSEMBO JIMBO LAKO, KINA MWIGULU WAKIONA HII WANACHANGANYIKIWA M4C FOREVER...
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  jOHN HECHE tumaini jipya la CHADEMA!Mungu ibariki Chadema idumu na iwe na nguvu zaidi!
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ccm watalia sana safari hii,kudadaki,walifikiri itakuwa easy kwao lakini wamegeuziwa kibao
   
 14. m

  malaka JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hivi nape yupo kweli jaman? Au ndio teyar kapuni bu WhiteHair?
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Kamanda Heche na timu yake mahiri BAVICHA wakiwa kazini rasmi kukijenga CHADEMA kila kona ya taifa hili. Hakika CHADEMA kitajengwa na kuenezwa kila mahali na WENYE MOYO, ila mbio za kuelekea Magogoni watu kibao tutajitokeza na kupigana vikumbo kushoto kulia bila hata ya chembe cha busara, kwa maelekezo ya tumbo, na hata kutamani kuvuna toka katika shamba tulimo kijikita zaidi kupanda magugu badala ya mawele.
   
 16. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Heche, komaa mwanangu kwani hilo jimbo ni letu?
   
 17. P

  PJS Senior Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaenda kuanza na Mungu na tutamaliza Mungu,wao wanapesa CCM na polisi wanaowavutisha bangi ili wawaue watanzania waliopo kwenye utumwa wa nchi yao,wakiendelea kutuua na sisi tutakosa uvumilivu na kuanza kuwaua na wao
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ukiangalia sura za hao wananchi ni kama wana hasira fulani hivi
   
 19. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mkuu kwani ccm wana aibu wale, wanaweza wakatetea hoja kuwa sumbawanga,kigoma,mbeya na iringa ni kaskazini na wakashinda, unachezea vichwa vya akina Ritz,zomba,Tantawi, ecoli and the like! Kile chama ni balaa, eti wamewachagua lusinde na mwigulu ndo waongoze kampeni sumbawanga, akili au matope!?
   
Loading...