Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,303
- 4,684
yuko kwenye siku zake akabadilishe ped ndio akalale.
Thanx mkuu...
Nakumbuka ban yangu ya kwanza JF nilipigwa baada ya kumwambia Faiza Foxy maneno kama hayo yako
yuko kwenye siku zake akabadilishe ped ndio akalale.
Kazi ipo...polisi wameanza kujisahau wanatakiwa kufanya nini. Wanatengeneza tatizo kubwa litakaloweza kabisa kupoteza credibility ya jeshi hilo mbele ya watanzania.Mwenye macho haambiwi ona
Haya ndio matunda na ubishi wa chadema. Watanzania wameshajua nia yenu toka mliposema nchi haitatawalika. Mwingine alidiriki kusema eti jk asiende arusha. Kama chadema wangefuata amri ya polisi yote yangetokea?
Akili imekimbilia kwenye kuhamasisha vurugu nchi isitawalikeakili hikaa kichwani kama kichwa kina ubongo. Kama hakina, basi akili hutafuta sehemu ya kujificha. Sijui akili yako wewe imekimbilia wapi baada ya kugundua kichwani hakuna ubongo.
poiisi hawakosi la kusema. utasikia, ririkuwa rikishindana na porisi tukarishinda, na huku mwandishi wetu wa habari kaowawa na bomu utadhani sijui ni gaidi gani aliye shindikana.