PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Tumefikia huku?

Yule mbumbumbu Shigela atoe tamko lingine sasa, manake wakati anaongea pumba zake alidhani yuko toilet
 
this is not fair at all!! kaelekeza mtutu tumboni kwake!siku si nyingi yatawageukia wauwaji katika kipimo kilekile. RIP Mwangosi
 
Kazi ipo...polisi wameanza kujisahau wanatakiwa kufanya nini. Wanatengeneza tatizo kubwa litakaloweza kabisa kupoteza credibility ya jeshi hilo mbele ya watanzania.Mwenye macho haambiwi ona

Credibility ipi tena mkuu????

It is so painful kwa kweli that much unyama is intolerable........ lakini kwa kuwa clock is ticking and God is for us all.....the prayers will be answered
 
hivi mtu ukiwa unaitetea serikali si ndo utakua inatetea haya..!!? Na wewe si utakua kama muuaji tu...!!? Hivi utakua na tofauti gani....!!? Hivi daaah... Mtu anauawa kwa kutaka ku xpose uovu...!!? Hivi hii sio dictatorship...!!!!?
 
Haya ndio matunda na ubishi wa chadema. Watanzania wameshajua nia yenu toka mliposema nchi haitatawalika. Mwingine alidiriki kusema eti jk asiende arusha. Kama chadema wangefuata amri ya polisi yote yangetokea?
 
Dah..so painfull,ila wakuu tunaomba tufahamishwe chanzo cha yeye kuuwawa
 
jamani hivi kweli Tanzania tumefikia hapo? siamini macho yangu utadhani tupo Iraq!!!! ni unafiki mkubwa kwa viongozi wetu wanaodai tanzania ni kisima cha amani. hivi amani ipo kweli hapa? au tunajidanganya tu! Rais kikwete please naomba uchukue hatua dhidi ya hao askari ambao wanachukua sheria mkononi wakati wao ndo tunawategemea kwa usalama wa raia lakini wamegeuka na kuwa hatari kwa raia. inasikitisha sana jamani ulishaona wapi mwandishi wa habari anauwawa kinyama hivyo tena na chombo cha dola? hata vitani waandishi huwa hawauwawi na adui wa pande zozote zile kwa sababu ni watu muhimu katika kutangaza kinachojiri vitani. R.I.P comrade Daud Mwangosi "KYALA AKUTUSYE"
 
I feel so sorry wanahabari mnanyanyaswa ktk nchi yenu, ilikuwa tindikali kwa kaubenea na ndimara, wamefungia mwanahalisi na sasa wanauwa kinyama waandishi wa habari, ni wakati wa kuchukua hatua muafaka mimi na wewe
 
Haya ndio matunda na ubishi wa chadema. Watanzania wameshajua nia yenu toka mliposema nchi haitatawalika. Mwingine alidiriki kusema eti jk asiende arusha. Kama chadema wangefuata amri ya polisi yote yangetokea?

akili hikaa kichwani kama kichwa kina ubongo. Kama hakina, basi akili hutafuta sehemu ya kujificha. Sijui akili yako wewe imekimbilia wapi baada ya kugundua kichwani hakuna ubongo.

c42e7874-d29f-d239.jpg
 
WaTz......!!!!!!
Mwenzako akinyolewa zako tiamaji .......!!!!
B4 waje watu clier nibora tuwawai mapeema cz amin usiamini kesho mkeo au mwanao kipenzi hao policcm watamuuwa mbele yako....!!!
 
God of host!....now I can imagine how a person can turn into a wild animal nakuamua kulipua wenzake hata wasiokuwa na hatia kupunguza uchungu wa moyo wake! Nimebaki mdomo wazi yaani hadharani mtu anauawa kama vile mtali wa uwindaji anavyomdungua mnyama pori risasi? This is a new version in our country never seen before na hao maaskari watatoka vifua mbele na pengine kupandishwa vyeo! Watanzania this is too much jana ilikuwa kwa yule leo kwa mwandishi wa watu kesho inaweza kuwa zamu yako who knows
 
Huyo skari aliyeuwa,buti zake ni tofauti kabisa na za wenzake,ukiangalia picha ya pili baada ya kumlipuwa marehemu,yeye anaendelea na shughuli kama kawaida without any concern,yani hata mwenzake aliyeko pembeni anaonekana kushangaa kidogo na hofu kwa mbali wakati akiangalia mabaki ya mwili wa marehemu.Picha hizi hazitaweza kusahaulika na wala vitendo hivi havitaweza kusahaulika.Nadhani huu ndo mwanzo halisi wa mwisho wa utawala huu dhalimu kabisa.
 
akili hikaa kichwani kama kichwa kina ubongo. Kama hakina, basi akili hutafuta sehemu ya kujificha. Sijui akili yako wewe imekimbilia wapi baada ya kugundua kichwani hakuna ubongo.

c42e7874-d29f-d239.jpg
Akili imekimbilia kwenye kuhamasisha vurugu nchi isitawalike
 
poiisi hawakosi la kusema. utasikia, ririkuwa rikishindana na porisi tukarishinda, na huku mwandishi wetu wa habari kaowawa na bomu utadhani sijui ni gaidi gani aliye shindikana.

Kama tukio lingekuwa ni la mtu kushukiwa ni jambazi, kesho tu taarifa ingetolewa ya jeshi limejitahidi na limefanikiwa kukamata majambazi lakini kwa hili tukio itachukua siku kadhaa kutoa taarifa kwa kujifanya kusubiri taarifa ya daktari (delaying technique huku wanaandaa nondo za kutoa kwa wananchi), jamaa (Daudi alikuwa ana coverage nzuri sana kwa Iringa - RIP mpiganaji)
 
Back
Top Bottom